Barya
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 949
- 1,194
KEVIN ISAYA COMPANY Inayopatikana jijini dsm , makao makuu yake ni KIGAMBONI, inatangaza nafasi moja ya kazi ya afisa masoko kwa upande wa magari na atatakiwa haraka kuanza kazi
MAJUKUMU YAKE
1. kubuni mbinu ya uuzaji wa magari yote yanayoingizwa na kampuni,
2. kutafta wateja na kuzungukia wateja wote wenye mahitaji na magari
3. kutembelea office mbali mbali za serikali na za binafsi ili kupata kuwaeleza wateja juu ya fursa yao kupata magari kwa mkopo na kulipa kidogo kidogo wakidhamininwa ama na ofisi zao au watu wenye vigezo vya kuwadhamini,
4. kutembelea mikoa yote mbali mbali na kujua wateja wanaotaka kuagiza au kununua magari kupitia kampuni yetu
5. kupokea magari yanayoingizwa nchini na kuyapeleka sehem husika kwa kusubiri makabidhiano na wateja
6. Kuyakagua magari yote na kuhakikisha yapo katika hali ya usawa kabla ua kuyakabidhi
7. kuhudhuria vikao na wateja au mikutano ya maonesho , na pia kuhudhuria vikao na uongozi wa kampuni kutoa mrejesho wa kazi ilivyofanyika na kutoa mapendekezo
8. kuandaa report ya mwezi na kuituma kwa mkurugenzi mkuu,
SIFA NA VIGEZO
1. Awe na degree katika ama biashara, mauzo(marketing), uhasibu, usafirishaji au fani yoyote inayoelekeana na hizo,
2.Awe na ujuzi wa kompyuta kwa ufasaha kabisa,
3.Awe na passport yaan pass ya kusafiria maana atalazimika kuwa anaenda nje ya Tanzania mara kadhaa,
4.Awe na lesseni ya gari ,
5.Awe na uzoefu wa miaka isiyopungua miwili kazini
6. 25-30
7. Asiwe na itikadi yeyote ya kichama chochote kile iliyopitiliza inaleta migongano kazini
8. Awe na uwezo wa kuzunguka Tanzania nzima kwa kufanya mauzo, afya iwe nzuri sana .
LENGO LA MAUZO KWA MWEZI
1.Mauzo yatapigwa katika aina mbili
A. Kias kwa mwezi ambacho kitaelezwa kwenye mkataba
B, idadi ya wateja ambao wamepatikana kwa mwezi
hivyo itabidi atimize kimoja wapo
Mshahara na huduma nyinginezo
1. Mshahara ni 1,000,000 kwa mwezi
2. NSSF atachangiwa 10% ya mshahara wake naye atachangia sawa.
3. House allowance,
KAMA UMEKIDHI VIGEZO HIVYO HAPO JUU ANDAA PROPOSAL YA JINSI GANI UTAFANIKISHA KUUZA MAGARI NA MBINU IPI UTAITUMIA KUUZA MAGARI KUWASHINDA WASHINDANI WAKO
Proposal itumwe kwenye kevinissaya@yahoo.com
MWISHO WA MAOMBI NI TAREHE 30/10/2016