Anachofanya Kibonde wa Clouds FM ni hatari kwa redio hiyo


Bashite alimusema Gwajima mwisho tumemuona akilia kanisani na Gwajima kasema ni mpaka aombe msamaha ndio ataeleweka


Sasa huyu Kibonde nahisi yeye atajinyea kabsaa Gwajima akimuwashia moto
(Gwajima hua hana dogo wala kubwa)

Gwajima sio mtu wa mchezo mchezo, wamuulize Pengo
 
Pengo alifanywaje ndugu?
 
Hii redio aiku hizi imepoteza mvuto..hiki kipindi zamani kilikua kizuri sana ila sasa hivi kimejaa porojo za kinafiki, matangazo kila mara na ushabiki usio na msingi...kipindi cha nyuma kipindi cha jahazi kilikua hakinipiti ila kwa sasa nina zaidi ya miezi 6 sijazikiliza kimebaki tu kipind cha sport ndio nasikiliza
 
Kibonde wa divion 4 ya D 2 leo anaota mabega. TCRA harakisheni kufanya kazi yenu, Radio ndio zilizo leta vita Rwanda na burundi
Kwenye hii Sheria Mpya ya Huduma za Habari na Utangazaji atajiengua mwenyewe! Diploma ndio kiwango cha chini cha elimu kwa wote wanaohusika na mambo ya habari
 

Mbona hamna sifa ya maana hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…