Amuacha mumewe baada ya kujua anafanya mapenzi kinyume na maumbile

Si vizuri kumtangaza!!! Hujui story yake.! Ata kama unaijui si vizuri kutangaza... Alafu natangaza ili iweje? Aibu ikimzidi akaamua kujiua ntafurahia au!??
Matendo mengine tufikirie consequences kabla ya kutenda.
Kama ni mume wangu tutatafuta ata marinda bandia na life linaendelea.
 
Binafsi sitamtangaza kwanza ni aibu kwangu kuongea kitu hicho mbele za watu though naamini kuna watu wengi walikua wanajua huu mchezo wake so Mimi ndo wa mwisho kujua baada ya marinda yote kuisha.So la kutangaza hapo
watu wamejua baada ya yeye kuachwa na mke wake. wanajiita askari koti kwa sababu wanafanya kwa siri
 
Tunaachana tu kwa amani kila mtu ashike hamsini zake.Kuhusu suala la kumtangaza huo ujinga sifanyi mana licha ya kuwa ni aibu kwake hata kwangu ni aibu pia.Nikujiaibisha tu hakuna hata faida yoyote ya kumtangaza.
Mimi hata nisikie mume wangu yupo guest fulani sijui na mwanamke mwingine nitajitahidi nipate ushahidi tuachane ila eti sio ile nabebana na kikundi cha watu halafu natengeneza scandal nani anataka aibu.
Nakuchunguza kimyakimya mpaka napata ushahidi tunaachana masuala ya kuleteana aibu na kushushiana heshima mtaani sio kabisa.
Wamtangaze watu wengine ila sio kutoka kinywani kwangu.
 
kitendo cha kuachana tu peke yake hakuna siri watu wote wanajua nn sabbu na kitendo cha kumvumilia kukaa nae ndio inaweza kumtunzia siri kuachana ndio kikubwa
ngoja nijaribu kusoma kwa nguvu naweza nikakuelewa
 
Kama kuna waliotatua marinda (labda 3), kuna wanaendelea na kisamvu cha kopo (labda 5) + huyo mkewe na kuna na ndege wa angani wawezao kuona inzi kuashiria mzoga, SIRI ipo wapi?
 
Kama usharudi kwenu hamna sababu ya kutangaza matatizo ya mwenzako bhana. Ni kutokujielewa tuu, jaribu kugeuza kibao kwako wewe
 
kwa aibu kama hizi ndomana unakuta jamaa limeufyata kwa mkewe halina sauti utasema limewekewa limbwata

Nimekuelewa mkuu, huwa hatufahamu kumtunzia siri mume ni libwata pia. Lakini kwa hili huyu dada ana haki ya kuomba talaka lakini si kumtangaza.
 
Ningekuwa ndo Mimi sinsingemtangaza.ningewaambia tu wazazi wa pande zote mbili. Ili wasije sema nimeshindwa kuishi na mume..
Ila mwanaume kufanywa hivi. Asee. Aibu mno. Mno,
hata kwa wanawake pia sio vizuri kabisa
 
Nimekuelewa mkuu, huwa hatufahamu kumtunzia siri mume ni libwata pia. Lakini kwa hili huyu dada ana haki ya kuomba talaka lakini si kumtangaza.
Mkuu iko hivi ,kama hutaki kudhalilishwa basi usijidhalilishe,

mimi hapo simlaumu huyo mtoto wa kike maana uyo mwanamme kaitafuta mwenyewe fedheha hakuna anayeweza kuvumilia
 
Back
Top Bottom