JF Member
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 7,838
- 10,633
Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Msibani alitoa wapi huo mda?. Mwache mwenye mke ndio anajua.Aliona ni vema kurudi na kiwanda kikiwa safi😁
Yani kafanya usafi nako ni tatizo?
Msibani alitoa wapi huo mda?. Mwache mwenye mke ndio anajua.Aliona ni vema kurudi na kiwanda kikiwa safi😁
Jesus christ!!!Umeamua kujielezea ulivyo sio
😂😂😅kimekusibu nnJesus christ
Licha ya kutegemea rasta, unaondokaje home na mivuzi halafu urudi umeinyoa, nani kakunyoa na umenyolea wapi?Naunga mkono hiyo talaka
Jamaa alikuwa anategemea rasta
😂😂😂Linaua kabisaKweli mambo yamebadilika sana hadi vuzi linavunja ndoa
Kunyoa kusikojulikana au talaka?Hii nayo kali aisee.
Unaenda kunyoa mavuzi msibani inaingia akili hii kweli? Wewe unaondoka na mavuzi yako mpaka msibani unafika msibani unaanza kunyoa mavuzi? Hapana mimi natoa talaka 7 zingine akawape aliopiga nao orgyMke wake aliaga anakwenda msibani kwa shangazi yake lakini baada ya kurejea nyumbani, mme wake akagundua mkewe amenyoa sehemu za siri hali iliyozua ugomvi na kuamua kumpa talaka.
Mliopo huko kwenye hiyo bond kazi mnayo😂😂😂Linaua kabisa
Sipo ila soon nitakuwepo ili nkalete ushuhudaMliopo huko kwenye hiyo bond kazi mnayo
Vyote vyote tu vinashangaza Mkuu.Kunyoa kusikojulikana au talaka?
Mkuu Hapa haya maswali yangejibika kama ingejulikana huyo Mama alikaa huko kwa muda gani?Licha ya kutegemea rasta, unaondokaje home na mivuzi halafu urudi umeinyoa, nani kakunyoa na umenyolea wapi?
Sawa, shida ni kwamba mwamba hajui kanyolea wapi. Kuna nywele ukizinyoa nje ya home bila mwenza kujua lazima ilete shidaMkuu Hapa haya maswali yangejibika kama ingejulikana huyo Mama alikaa huko kwa muda gani?
Waeza kuta alimaliza hadi 40 hapo kuna shida gani kurudi akiwa swafi Mkuu?
Kwani shangazi hakumwambia usafi unafanyia wapi?😂😂shangaz alimpa kisomo cha ndoa ni usafi wajameni
Alimwambia afanye surprise kwa mumewe akute usafiKwani shangazi hakumwambia usafi unafanyia wapi?
Basi shangazi kavunja ndoa..!!Alimwambia afanye surprise kwa mumewe akute usafi