HAWA WANAWAKE SIKU HIZI SIO WAAMINIVU, wewe piga kisasi kabisaMagojwa je ? Kisasi chochote hakikisha we hauathiliki katika namna yoyote ile
hahaha thanks #AmHumbled!Good mkuu,akina peter huwa wanaakili sana good,haujaliangusha jina letu
Vipi bado mrejesho?thanks
Jamaa unataka kutobao spika usisahau ky gel na kondomHabarini wapendwa,
Mwanamke wangu ninayempenda juzi aliniletea laptop yake nimrekebishie ilizima ghafla wakati anatumia.
Leo nimefanikiwa kuitengeneza katika kutumia nikaiingia kwenye acc ya Fb alikua hajalogout kipindi inazima, madudu niliyoyakuta huko kuna mwanaume ana maahusiano naye.
Tena inaonyesha hata kale kamchezo kabaya wanafanya kuna meseji yule mwanaume anaandika;
Jamaa: "kwanini siku ile uliamua tufanye vile"
Yeye: nilikuwa kwenye siku hatari
Jamaa: si tungetumia nd.mu
Yeye: nd.m sipendi inaniumiza
Ukicheki text hizo kuna kitu kisicho cha kawaida walifanya sasa leo nimeamua akija kuchukua laptop tutafanya hayo yote ndipo nimwache nilikuwa namweshimu kumbe wenzangu wanaenda extra mile.
Nimeandika kupunguza hasira, nitakieni kisasi chema.
UPDATE
Amefika home tayari mrejesho utakuja kuanzia sa3/4
Mh ina maana na mwezi huu wa kesho tusiingie humu?maana hili balaa sasa.
Khe!mkuu nilikuwa namweshimu hata maiki tu hajawahi shika kumbe kuna watu wanasodomize.
WW!Khe!
Yap! una akili wewe! dawa ya moto ni moto dadadeki...!!!!Habarini wapendwa,
Mwanamke wangu ninayempenda juzi aliniletea laptop yake nimrekebishie ilizima ghafla wakati anatumia.
Leo nimefanikiwa kuitengeneza katika kutumia nikaiingia kwenye acc ya Fb alikua hajalogout kipindi inazima, madudu niliyoyakuta huko kuna mwanaume ana maahusiano naye.
Tena inaonyesha hata kale kamchezo kabaya wanafanya kuna meseji yule mwanaume anaandika;
Jamaa: "kwanini siku ile uliamua tufanye vile"
Yeye: nilikuwa kwenye siku hatari
Jamaa: si tungetumia nd.mu
Yeye: nd.m sipendi inaniumiza
Ukicheki text hizo kuna kitu kisicho cha kawaida walifanya sasa leo nimeamua akija kuchukua laptop tutafanya hayo yote ndipo nimwache nilikuwa namweshimu kumbe wenzangu wanaenda extra mile.
Nimeandika kupunguza hasira, nitakieni kisasi chema.
UPDATE
jamani yule mwanamke alikuja mida kama ya sa1 hivi kama nilivyopanga japo sijafanikiwa kila kitu but atleast nimepata relief kidogo na kule kushika maiki ambako nilikuwa namwonea huruma leo kafanya kuepuka kuonekana na grolify uovu sitaeleza mambo yaliyofanyika, katika utetezi wake mwanamke anadai yule jamaa sio mpenzi wake walifahamiana fb na siku ya kuonana ilikuwa ni mara ya kwanza na sikweli kuwa alimpa 0713 bali alimpa afanye kwnye mapaja, nikamuuliza kama ni hivyo kwann jamaa hakukuuliza lodge sababu ya kumpa mapaja mpaka akuulize fb, hakuwa na majibu ya maana zaidi ya kulia utetezi wake nimetupilia mbali na inavyoonyesha jamaa hana future na huyu mwanmke manake kalia sana kuomba msamaha ila bahati mbaya siwezi rudi nyuma.
ahsanten sana kwa ushauri wenu kisasi kimeisha salama.