Amenipa sharti kwamba nisitumie kondom kwenye kulala naye

Wakuu hii imekaaje,
Baada ya kutengana na waubani wangu, nikaona sio mbaya nitafute mwingine. Mambo yameenda safi tu, nimefanikiwa kupoint mrembo mkali sana zaidi ya niliekuwa nae hapo awali

Huku sasa naona kuna majanga zaidi ya nilikokuwa. Kawaida mahusiano mengi siku za mwanzo watu hutumia kinga kwani wengi huwa hawafamiani vizuri. Kwangu baada ya kumweka huyu mrembo sawa, nikaomba papuchi wikend hii

Ajabu nilichokutana nacho na kinanitia hofu ni sharti la kutokutumia kondom kama kweli nahitaji nimgegede! Hii kitu ilisababisha wikend hii ndefu kupita kavu hivi hivi kwani nilikuwa nategemea nitoke nae ila hili sharti ni la maahaka sana

Nilijaribu kumdokezea habari za kichek afya lakini yeye ndio hataki hata kuzisikia na kuishia kunilaumu eti simuamini!
wataalamu wa hizi vitu huyu mtu nimfanyeje au nimpotezee tu
Watu tunamng'ang'ania Mungu, wewe unang'ang'ania condom?
 
Ana ngoma uyo piga china
 
Mwenyewe condo kwakweli daa huwa sipendi. Nilishakutana pia na mtu wa namna hiyo she was under 18 kumbe kawekewa kijiti na mama yake so alikuwa anagawa tu papuchi bila shida. Ila nlimbananisha tukaenda kucheki kwanza
 
Ha ha ha ha haa. Basi mkapime,Ili uridhike kutotumia mpira. Aaghaa.
 
Mbona unaumiza kichwa mkuu" mbona dawa take ndogo Sana... Paka dushelele lako dawa ya meno (Colgate) then muingilie yeye mwenyewe ataomba pooh... Hiyo ndio dawa sahihi ya wakina Dada wasiopenda kutumia kinga...
hapo nini kitamtokea?
 
Everything you encounter in your life, is a result of your thinking and decisions.
 
Wakuu hii imekaaje,
Baada ya kutengana na waubani wangu, nikaona sio mbaya nitafute mwingine. Mambo yameenda safi tu, nimefanikiwa kupoint mrembo mkali sana zaidi ya niliekuwa nae hapo awali

Huku sasa naona kuna majanga zaidi ya nilikokuwa. Kawaida mahusiano mengi siku za mwanzo watu hutumia kinga kwani wengi huwa hawafamiani vizuri. Kwangu baada ya kumweka huyu mrembo sawa, nikaomba papuchi wikend hii

Ajabu nilichokutana nacho na kinanitia hofu ni sharti la kutokutumia kondom kama kweli nahitaji nimgegede! Hii kitu ilisababisha wikend hii ndefu kupita kavu hivi hivi kwani nilikuwa nategemea nitoke nae ila hili sharti ni la maahaka sana

Nilijaribu kumdokezea habari za kichek afya lakini yeye ndio hataki hata kuzisikia na kuishia kunilaumu eti simuamini!
wataalamu wa hizi vitu huyu mtu nimfanyeje au nimpotezee tu
Kuna harufu ya kubambikiwa mimba kaa chonjo saa mbaya hizi
 
Back
Top Bottom