Ama kweli huwezi kujua thamani ya ulichonacho hadi utakapokitupa

Wasichana wengi akili mbovu sana. Na ndio maana awaoleweki, wanajua maisha ni kuvaa suti, shati jjeupe, Tai na kiatu kizuri ndio kuolewa na kuwa na pesa na ndio maana wanachezewa sana.
Mwanamke anakukuta upo zako katika Sight za ujenzi dharau kibao akikuta upo viti virefu anakushobokea.
Yaani awa wadudu awaeleweki kabisa na ndio maana wanakaaa sana makwao na kuzalishwa kwa kupenda masharobalo
Mpwa wanawake ni wadudu?????

Hukuzaliwa na mwanamke wewe??????

Kwa hiyo na wewe ni jamii ya wadudu???


(Hata kama wamekukera tuangalie lugha zetu)


Nimepita tu jamani....
 
hahaha huyo nlikua natafuta girl humuhumu baada ya kumwambia kazi yangu akanikimbiaa..ila nilishangaa sana maana mi naona kama kazi nyingine na form 6 na chuo nimeenda sio fundi nloishia la saba..
Wakati mwingine likuepukalo lina kheri nawe...... shukuru kwa kila jambo
 
Wasichana wengi akili mbovu sana. Na ndio maana awaoleweki, wanajua maisha ni kuvaa suti, shati jjeupe, Tai na kiatu kizuri ndio kuolewa na kuwa na pesa na ndio maana wanachezewa sana.
Mwanamke anakukuta upo zako katika Sight za ujenzi dharau kibao akikuta upo viti virefu anakushobokea.
Yaani awa wadudu awaeleweki kabisa na ndio maana wanakaaa sana makwao na kuzalishwa kwa kupenda masharobalo
Aisee ukimaliza pita huku ~~> upate ka mwendokasi utulizee koo
 
Ni kweli anakupenda lakini huna hisia naye hilo si tatizo. Lakini wanachokosa wasichana wa kileo ni namna au njia bora ya kusema hapana au kukataa. Kwani kama humpendi mwanaume si umwambie kwa adabu tu. Kuna haja gani ya kumpotezea muda au kumnyanyapaa? Au kumnyanyasa na kujiona wewe keki saaana kisa kuna sharobaro anakupeleka puta. Je, wewe ukiwa na mtoto wa kiume utapendelea atendewe kama wewe unavyowatendea wanaume hivi sasa? Wasichana wengi hivi leo wana matatizo ktk ndoa zao kutokana na laana za kuwaumiza wanaume wasio na hatia. Hivi kuna kosa mwanaume kukupenda? Au kumpenda mtu ni kosa?
Mi nawaambiaga kistaarabu tu
 
yeah i real love him, he is my best friend, he is my dady! nilishachoka na wala vumbi wa bongo hawana upendo dharau kibao hawajui dhamani ya mtu kumkabidhi moyo wako. wacha nitulie nidekezwe mie.
Wow i wish you both good luck
 
Kuna mengi ktk Love zaidi ya wengi tuyaongeavyo. Si tu kuwa na malengo mazuri ktk family na kipato, si tu ktk sex, si tu ktk kupata heshima ktk jamii, mke wa fulani mume wa fulani.

Mapenzi na mahusiano ni zaidi ya hayo. Kwanza mawasiliano, je mnaongea lugha moja? Ni marafiki? Ktk ubongo na mwili mnatoshelezana? Mi naamini ktk watu wanaoishi vibiya duniani ni wale wanaoishi ktk mapenzi ya kimaigizo. Lazima nioe au niolewe.

Maisha ni shida tupu, at least mapenzi yawe kiburudisho. Mpenzio lazima awe nawe uwe best friend wako. Swala la ndoa ni kujitoa sijui kuvumiliana ni kwa tuliokata tamaa kujipa moyo wa kuendelea kuishi tu.

Mpenzio ndo unaetumia muda mwingi nae, kama ni kwa kuvumiliana hapo ni full shida. Tusilazimishe ndoa au mapenzi, bali tuzijenge ikishindikana freely tuseme basi.
 
Back
Top Bottom