Guin
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 67,958
- 162,154
Mimi naona alijibu vyema kwani hakumnyooshea kidole yeyote2008 umemaliza la saba na una demu, na uandishi wako huu!!!mbona kama mzee zaidi ya hapo???
Sasa nawe kwa akili yako ukamning'iniza faza ako???.pale ungeweka mpira kati,bila kufungamana na upande wowote.maana mpaka sasa sjui nani alikusomesha.