Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 126,227
- 240,557
- Thread starter
- #41
ccm hata huruma hawana ?Ndo ilivo siasa jaman, mshishangae sana
ccm hata huruma hawana ?Ndo ilivo siasa jaman, mshishangae sana
Nasikia amekwenda kujiunga na ISIS
Hiyo TV na Redio zilikuwepo kabla hataa ya ubunge wake..alizitumia kupata ubunge ila Tabora hajatufanyia kitu.... ila tabora hapa sheria n miaka 5 tu hakunaga vipind viwili..mbona inasemekana kaleta maendeleo ya kufa mtu , hadi tv na redio wanatabora sasa wanacheka tu .
fuatilia historia ya wabunge wa tabora. Kila baada ya miaka mitano lazima achaguliwe mwingineMkuu, hiyo ni Rage mwenyewe. Hakujiuza vya kutosha jimboni wakati akiwa mbunge.
umedanganywa kabisa tuulize sie hapa tukuambie ukwelimbona inasemekana kaleta maendeleo ya kufa mtu , hadi tv na redio wanatabora sasa wanacheka tu .
amejichomeka kampuni fulani ya mabasi kule tabora anamiliki mibasi now
Nasikia amekwenda kujiunga na ISIS
sasa hamuoni kwamba hii ni sababu inayorudisha nyuma maendeleo ya Tabora ? miaka mitano haitoshi jamani ! mlitakiwa kumpa muda zaidi .Hiyo TV na Redio zilikuwepo kabla hataa ya ubunge wake..alizitumia kupata ubunge ila Tabora hajatufanyia kitu.... ila tabora hapa sheria n miaka 5 tu hakunaga vipind viwili..
Duh! kwahiyo simba yetu ndio basi tena kwa fitna za Rage siyo ?Simba inao watoto wa mjini, wasomi ambao hujiona wana akili kuliko wanasimba wote nchini. Aden Rage alipigwa vita nyingi ya chini kwa chini lakini kwa sababu ni mjanja, alipoondoka madarakani akahakikisha anaondoka na matajiri. Marafiki wa Simba walipoingia kwenye uongozi wakajikuta hawana matajiri wa kuwaomba fedha, matokeo yake wakaanza kupiga makelele wakisema timu haina fedha, waliingia kwenye uongozi ili watengeneze fedha kupitia udalali wa wachezaji na kuwa watu wa kati kati ya timu na wenye fedha, lakini matajiri waliondoka na Mzee Rage.
Rage ni mjanja, mtoto wa mjini ingawa kwa bahati mbaya kapigwa vita na wengi wakamchukia bila ya kujua kuwa alikuwa anapambana na watu ambao kuingia kwao simba kulianza enzi zile wahindi kina Dewji na Marehemu Gulamali walipoanza kuingia kwenye soka na kuziharibu kabisa timu za kitanzania.
Fitina alianza kufanyiwa Rage, kwa hiyo alichokifanya ni muendelezo tu wa tabia za watu wanaojiita "watu wa mpira".Duh! kwahiyo simba yetu ndio basi tena kwa fitna za Rage siyo ?
Hivi zile hela za mauzo ya okwi zimeonekana kwenye akaunti ya simba ? ikumbukwe pia kwamba KIMBANGULILE FC ya Mbagala ilistahili hela kwenye mauzo ya Mbwana Samatta Tp Mazembe , je hiyo haki yao walipata ?Fitina alianza kufanyiwa Rage, kwa hiyo alichokifanya ni muendelezo tu wa tabia za watu wanaojiita "watu wa mpira".
Hapo sasa, maswali mazuri sana. Jamaa wa Etoile bado wanazingua wanataka walipe nusu nusu simba haiutaki uhuni huo. Hiyo timu ya Mbagala inastahili kulipwa chochote lakini sijui makubaliano yao na Simba yamekaa vipi.Hivi zile hela za mauzo ya okwi zimeonekana kwenye akaunti ya simba ? ikumbukwe pia kwamba KIMBANGULILE FC ya Mbagala ilistahili hela kwenye mauzo ya Mbwana Samatta Tp Mazembe , je hiyo haki yao walipata ?
mkuu miaka mitano bado mnakataa kulipwa nusu nusu ? mpaka leo si deni lingekwisha malizika ? mjomba hebu tuwekane wazi , mimi sitamwambia mtu , hivi hela zipo kweli au zimetafunwa ? ninong'oneze tu mkuu wala usipayuke , maana tunaambiwa Rage amenunua mabasi mapya , sijui ndio zile YU TONG ?Hapo sasa, maswali mazuri sana. Jamaa wa Etoile bado wanazingua wanataka walipe nusu nusu simba haiutaki uhuni huo. Hiyo timu ya Mbagala inastahili kulipwa chochote lakini sijui makubaliano yao na Simba yamekaa vipi.
Hao Etoile wamepelekeshwa na FIFA ndio maana wakarudi kwa simba na kuomba walipe nusu nusu. Rage anahisiwa vibaya na watu, lakini nia hizo mbaya chanzo chake haswa ni watu kutaka kukamata uongozi wakitegemea wataweza kupiga hela kirahisi. Fedha ya Etoile bado haijalipwa, hata mimi nilikuwa na mawazo kama yako.mkuu miaka mitano bado mnakataa kulipwa nusu nusu ? mpaka leo si deni lingekwisha malizika ? mjomba hebu tuwekane wazi , mimi sitamwambia mtu , hivi hela zipo kweli au zimetafunwa ? ninong'oneze tu mkuu wala usipayuke , maana tunaambiwa Rage amenunua mabasi mapya , sijui ndio zile YU TONG ?