yaani waanauzi sana na ukizingatia wanaoandika hivi field inakuwa inanafasi kubwa.
hawajui hii ni kwenye vi sms eeh inaeleweka mtu kubana pesa.
kama umempenda kweli basi u need to go DOWN
wewe kusoma private school inahusuiana vipi na story yako?
inaelekea unapelekesha pesa ulinayo mbele, labda ndio nyie mnaoongelea pesa pesa raha raha masaa 24 kujionyesha mnazo kwa wanaume wengi hii hawapendi as ukizingatia unabebwa na wazazi.
hakutaki songa mbele, pesa sio kushika mtu kimapenzi.
Huyo alikua anataka kukuvua gagulo tu, endelea na masomo mdogo wangu, utapata mwingine.
Sent from my iPad using Tapatalk HD
nlimpenda and still nampenda,and nakumbuka sijagombana nae hat kidog cause nilimtumia sms kumwomba msamaha kama ntakuwa nimemkosea au kumkwaza kwa namna moja au nyingine lakin hakujibu:A S cry::A S cry:
Unamaanisha nini she needs to go DOWN? i hope si ninachokifikiria!kama umempenda kweli basi u need to go DOWN
Vianafunzi navyo bhana! at this tender age umeshaanza ku-ngonoka....You can only do one thing at a time, period!mi ni msichan mweny umr[kapun]nmemaliza form six katk shule privat hap jijin dsm,miez miwil iliyopita nliomba ushaur hap jamii forum kuhus a boyfriend of mine ambae nliekuwa nae,and alot of pipo walinishaur vizur tu.Ni kijana mweny umri wa miak 22 going 23,ni mwajiriw katik kampun flan hap jijin,nlikutana nae kam miez miwil na nusu iliyopit na kuanzish uhusian,he is not rich wala hajatokea katika jamilia ya katajir,nlimpenda yeye kama yeye,sikuwah kumwomba hela hat siku moja sababu napat hela kutok kwa wazaz wang na ukitegemea ndo kwanz nmemaliz shule na kufaul vizur 2!!huyo kijan nlimwelez kwa sasa sitowez ku-sex nae coz am nat redy though mim sio virgin,bt alinielew na nlifurah coz hakuwah hat siu moja kunisumbua kuhus se*.Cha ajabu tx has been a week sasa sijaongea nae wala nin,and nkimtumia messsage hanijib,nlienda kwa nkaambiwa ameenda kazin sababu nlihis atakuw amepatw na matatiz,nlijaribu kumpigi kwa namb nyingine anapokea na akisikia sauti yangu anakat,nimelia vya kutosha.Tatizo nampenda hatar and tx very hard for me to accept dat EDDY is no longer mine!!!nifanyaje,niendelee kumpigia simu au niache!!!i though he was going to be the last boy in my life and probably a husband cause nlimpenda and still nampenda,and nakumbuka sijagombana nae hat kidog cause nilimtumia sms kumwomba msamaha kama ntakuwa nimemkosea au kumkwaza kwa namna moja au nyingine lakin hakujibu:A S cry::A S cry:
Unamaanisha nini she needs to go DOWN? i hope si ninachokifikiria!
Kaunga vp tena umeshafikilia uvinza nin?