Mkuu najua wapo...ila umewasilisha vizuri sana ule mchango wako...ulivyoongezea na hilo la magaidi Wa jf umenifanya nicheke sana mkuu.Mkuu, hivi ni lipi sahihi, hujui kuna magaidi JF au huwajui? Pls be serious, haya majitu ni mashetani yanajihudhurisha kila mahala. Hata kwenye vikao vya waendesha bodaboda yapo tu.