Alopewa ajenge Mwendokasi Mbagala kapewa tena Gongolamboto

Tuwe wakweli pale veta chang'ombe kwenye geti la chuo cha veta wembamba ule wa barabara magu angukubali kweli? Afu eti ni kituo cha daladala hapohapo mlangoni
Hahahahahah yani ni vichekesho sana ile njia mpaka JKT mgulani🤣🤣🤣
 
Aaargh yule mzungu bwege yule. Hataki kula na wenzie. Anakomaa anadhani wengine wale wapi? Hatutaki watu wana namna hiyo. Wachina hawa unaongea nao vizuri mnaenda pasu kwa pasu.... Lakini mzungu yule analeta za kuleta eti standard. Standard my foot. Akalale mbele na ubahili wake. Huyu huyu wa Mbagala atufaa.... Ni mtu wa watu na hana mkono wa birika.
Unaweza Kuta mtu wa hovyo kama wewe upo serikalini na mnaopitisha Dili za kipumbavu,mkishiba Hela zetu mnabaki kujamba hovyo kama hivi.
 
zilizojengwa kwa ufundi wa hali ya juu sababu makufuli ndie alikuwa msimamizi na kiongozi wa nchi huwezi kuboronga
 
Tuwe wakweli pale veta chang'ombe kwenye geti la chuo cha veta wembamba ule wa barabara magu angukubali kweli? Afu eti ni kituo cha daladala hapohapo mlangoni
Asingekubali angefanya nini?!

Binafsi kwanza nilishangaa niliposikia na kule inapita BRT kwa sababu tangia hapo, ile barabara ni nyembamba! Hata ujenzi wa barabara mbili ulikuwa unashindikana unless ubomoe majengo KIBAO!

Halafu tusijisahaulishe. Hakuna asiyefahamu magumashi ya Mchina lakini tenda za Kilwa Rd na Chang'ombe zilitolewa wakati wa huyo huyo JPM.

Na kuna atakayeshangaa kuona JPM aliwapiga chini Wazungu wa Strabag na kuwapa Wachina kwa jinsi alivyokuwa anapenda ujenzi wa BEI CHEE?!

Hamkuona hata SGR baadae na yenyewe akawapa Wachina wale wale ambao mwanzoni aliwapiga chinii?! Na endapo JKT wangekuwa na kautaalamu ka BRT kidogo tu basi hata hao Wachina asingewapa na badala yake angewapa JKT!

Nawakumbusha na lile sakata la Expansion Joints... ni matunda yale yale ya kutaka ujenzi wa bei rahisi.

Tatizo watu tukiweka uhalisia mnatuambia tuna chuki!!
 
Nimesikia jamaa aliyepewa tenda ya kujenga mradi wa Mwendokasi mbagala ndo huyo huyo anayejenga wa Gongolamboto

Hii ni ajabu kwasababu huu wa mbagala haueleweki utaisha lini, halafu kajenga vibaya vibaya mno

Sasa akipewa hadi tena Gomz si ndo watu watakaa miaka 20 hadi mradi ukamilike??

Tumeacha kumpa yule Mzungu wa Australia alotujengea phase I tumeenda kumpa mtu ambaye anajenga kwa kuharibu haribu ukitizama ile barabara ya kusini utashangaa imejengwa na mtu au sio mtaalam?

Angalia Morogoro road na mwendokasi ilivyonyooka na kukaa kwa mpangilio nzuri angalia Kilwa Road ilivyoharibiwa na huyu Sino hydro halafu bado anapewa tena hadi Gomz ajabu kweli
Ni sawa tu waendelee kupeana, sisi watanzania tumeridhika na kila kitu na tuna furaha sana
 
Nimesikia jamaa aliyepewa tenda ya kujenga mradi wa Mwendokasi mbagala ndo huyo huyo anayejenga wa Gongolamboto

Hii ni ajabu kwasababu huu wa mbagala haueleweki utaisha lini, halafu kajenga vibaya vibaya mno

Sasa akipewa hadi tena Gomz si ndo watu watakaa miaka 20 hadi mradi ukamilike??

Tumeacha kumpa yule Mzungu wa Australia alotujengea phase I tumeenda kumpa mtu ambaye anajenga kwa kuharibu haribu ukitizama ile barabara ya kusini utashangaa imejengwa na mtu au sio mtaalam?

Angalia Morogoro road na mwendokasi ilivyonyooka na kukaa kwa mpangilio nzuri angalia Kilwa Road ilivyoharibiwa na huyu Sino hydro halafu bado anapewa tena hadi Gomz ajabu kweli
10%
 
Hakuna space ya kutosha kuweka vituo kutoka Kimara hadi Kibaha, ukipita njia ile utakubaliana na mimi. Ngoja tutaona.
Nahisi Ile njia ya Kati ni kwa ajili ya njia ya haraka yaani highway. Na sio ya mwendo kasi.
 
Back
Top Bottom