Almas Kasongo: Mashindano ya CHAN yatavuruga ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Aug 29, 2022
589
1,373
Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema kuwa michuano ya CHAN itapangua ratiba ya Ligi NBC na mashindano mengi hivyo maofisa wa ligi tangu jana wameanza kukaa kwa ajili ya kufanya mabadiliko ya ratiba ili kwenda sawa na ushiriki wa mashindano ya CHAN.

“Tumepokea hiyo ratiba ya Chan tafsiri yake ni kwamba inakuja kupangua ratiba yetu ambayo tayari tulikuwa nayo na unaweza kuona ratiba yetu imeakisi mashindano yote," amesema Kasongo.

Hivi kwanini hizi ratiba zisitoke kabla ya ratiba za ligi zinapoanza maana imekuwa kero ya kila mwaka
 
Back
Top Bottom