Aliyosema Askofu Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima kuhusu CCM na uwenyekiti yatimia

Chama Cha Majipu (CCM) hakijawahi kushinda Uchaguzi wowote. Huwa kinaiba kura.
kwa hiyo chama gani kilishawahi kushinda. tuambie. na nani alikuwa mgombea. tupe ushahidi walau. ni vizuri kuelimishana kwa facts na sio kutoa maneno ya kujiongopea kwa kujipa moyo bila sababu. its a waste of our time and resources
 
Mnamo mwezi wa 6 mwaka huu katika ibada ya Jumapili askofu wa kanisa la ufufuonauzima Josephat Gwajima alisema kuna watu wamejipanga kupinga Magufuli kupewa Uenyekiti.

vijana wa lumumba walipiga kelele alafu yule akatuma police wakazingira nyumba ya Askofu huyo na silaha nzito nzito kama wanapigana na Gaidi la kimataifa wakazusha tena wakidai askofu huyo katoroka nchi sasa leo tunayaona aliyosema tunataka sasa vijana wa lumumba mmubishie na Bulembo anayesema kuwa kunawatu wamejipanga kupinga Magufuli kupewa Uenyekiti waondoke sasa CCM mjifunze msikurupuke!
Huyu Gwajima ni mnafiki mkubwa na Rais anatakiwa kumfungisha domo lake chafu.
Yeye kazi yake ni kunenepa kwa Sadaka za kondoo Siasa ina mhusu nini km sio ushankupe ka changudoa?
Huyu si ndio alikuwa anampigia debe mzee manywele meupe? Mara ohhh nimeota ndoto mamvi kawa Rais. Ohh msikiti itakuwa Sunday school. Ohh kadinali Pengo kachanganyikiwa Haifai aishie zake kule. Na Uharo mwingine mwiiiiiingi.
Huyu mtu ni mpuuzi aliyeshiba Pesa za haramu. Anatakiwa afungwe mdomo haraka sana kabla hajaleta mtafaruku kwa Wananchi.
Sijui Rais anamchelewesha kwanini.
Kwanza aulizwe hayo Mabilion ya fedha kayapata wapi km sio biashara haramu?

Pepo mchafu kabisa huyu. Na wewe km Ni mpambe wake na ushindwe vile vile.
 
Tangu lumumba wawapunguzie posho pale mnahaha hujielewi unaandika utumbo na matusi kalale mzeee
 
Fanya kazi kwa bidii,komboa familia yako na waTanzania kwa ujumla...kujadili yasiyo na faida kwa jamii haipendezi
Kwa sababu ameongea ukweli? Watanzania wengine bhana akili ndogo sana, wewe umejuaje kama hajaikomboa familia yake?
 
Back
Top Bottom