Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,801
- 153,435
Taarifa zilizopo ni kwamba tangu jana asubuhi wanajeshi walishalipwa mishahara yao ya mwezi April huku watumishi wengine mpaka leo bado.
Binafsi nafikiri hili haijakaa vizuri na ni bora wasingelipa kuliko walivyofanya japo inaweza kuwa ni kwa nia njema kabisa
Wanapaswa kutambua wanajeshi tunaishi nao mitaani kwahiyo hakuna siri.
Tunajua Jeshi ni kada muhimu lakini bado sio sahihi kufanya hivi kwani haileti picha nzuri kwa umma.
Washauri muwe msaada kwa viongozi na si vinginenyo.