Aliyeridhika chanzo kimoja na asiye na chanzo wote ni maskini tena mwenye chanzo ni maskini zaidi anayejidanganya kuwa ni tajiri

Mwanasayansi Kalivubha

JF-Expert Member
Feb 4, 2024
291
772
Umaskini una tafasiri pana pia una nyanja nyingi kujieleza ila umaskini wa kiuchumi huelezwa zaidi kupitia vyanzo vyako vya pesa na uhuru upatao wa kiuchumi.

Moja ya kitu ambacho wengi hujidanganya ni kujiona tajiri kwa kuwa na chanzo kimoja huku ukimcheka asiye na chanzo kabisa kuwa ni maskini wa kutupa na kumbe kwenye mizani nyote ni sawa tu ki umaskini.

Mwenye chanzo kimoja ni maskini na aliyeridhika ni maskini zaidi hata ya asiye na chanzo na hawa ndio wengi hujiua au kuchanganyukiwa pindi chanzo hicho kikifa kwa sababu wengi huwa wanashundwa kuishi huo uhalisia tofauti na asiye na chanzo yeye kazoea kugongea na maisha yanaendelea.

Kama mwajiriwa jiulize hivi kweli unaweza kutoboa endapo mshahara utasimama kwa miezi sita? Tayari una wategemezi wote wanatumia chanzo chako kimoja sasa kikikata vipi utamudu?

Sasa kuanzia leo toka huko kwenye chanzo kimoja uliporidhika taratibu anza kufikiria biashara au namna yoyote nyingine halali itayokupa pesa yote haya ni kujiandaa kuishi endapo hicho chanzo kimoja kitashindwa kufanya kazi.

#Mwanasayansi Saul kalivubha
Fikia Ndoto Zako
 
Na sisi machawa, je tufanyee nini?
 
Kwa mbaali nakuona ukiwa kwenye kundi la wanaogongea na maisha yanaendelea.
 
Wewe hujui life la kutokua na vyanzo, yaani ufananishe mwenye chanzo na asienacho ati kwakua akipoteza hicho atasota.. na vipi asipopoteza akawa nacho mpaka anakula pensheni!!?
 
Back
Top Bottom