The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 2,144
- 4,639
Kile kilichofanyika Dodoma kilikuwa zaidi ya UhuniCCM kimejaa wahuni wakiongozwa na mama
HadithiYajayo ndani ya CCM na serikali hii chini ya Rais Chura Kiziwi
Bwege Kweli Huyu
View: https://youtu.be/8LkRBk1l-n0?si=YoP_MmEGpriicC0VNi yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea uchaguzi, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro alitangaza kufukuzwa uanachama...
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
#NO REFORMS, NO ELECTION.....
#STRONGER TOGETHER....
Yajayo ndani ya CCM na serikali hii chini ya Rais Chura Kiziwi, yanafurahisha...
Nchi ina uhuru sana hiiHadithi
Hadithi
Hapo zamani ya kale
Palitokea
Rais
Rais wa NCHI
Nchi ya Wagagagagigikoko
Rais huyo alijulikana km Chura Kiziwi
Basi Nchi ya Wagagagagigikoko ikapata mkutano wa Chama ukiudhuliwa na wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Maboga chini ya Mwenyekiti Chura Kiziwi
Basi Chura anarukaruka
Chura anarukaruka
Akagomea kutoka ili wamjadiri kwenye kikao
Chura anarukaruka akasema "km mnataka kutuchapa basi na mtuchapee hapahapa ila hapa hatoki mtu na hatutaki kujadiriwa"
Chura anarukaruka
Waajumbe wakaufyata mkia wakimuogopa Chura Kiziwi
Hadithi yangu imeishia hapo.
Hizi hizi Mahakama za ccm?😅😅
View: https://youtu.be/8LkRBk1l-n0?si=YoP_MmEGpriicC0VNi yule mwanachama toka Kilimanjaro ambaye mara baada ya kuhoji na kupinga utaratibu uliowapitisha Bi Samia Suluhu Hassan na Dr Emmanuel Nchimbi kuwa wagombea uchaguzi, haraka katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro alitangaza kufukuzwa uanachama...
Maswali anayouliza hapa:
1. Ni kina nani waliufadhiri na kuudhamini mkutano mkuu ule wa Dodoma wa tarehe 19/01/2024 uliowapitisha hawa kuwa wagombea Urais wa CCM...?
2. Ni kwanini jina Makamu Mwenyekiti ambalo tayari lilishapitia kwenye mchakato wote ghafla liliondolewa na kupitishwa Steven Wassira...?
3. Kama mamlaka na maamuzi ya kuteua mgombea u - Rais na mgombea mwenza wake yako mikononi mwa wanachama kupitia vikao vya chama, ni kwanini aliyependekezwa kuwa mgombea u - Rais (Bi. Samia Suluhu Hassan) ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama taifa alikataa kutoka na kuwapisha wajumbe kumjadili pale alipotakiwa afanye hivyo sawasawa na utaratibu unavyotaka..?
4. Anamalizia maswali yake kwa kuuliza: Kama hiki chama hakijatekwa na watu wachache ambao huamua nani awe nani, ni kwanini kuna ukiukwaji wa taratibu kwa kiwango hiki..?
#NO REFORMS, NO ELECTION.....
#STRONGER TOGETHER....
Yajayo ndani ya CCM na serikali hii chini ya Rais Chura Kiziwi, yanafurahisha...
HahahaAhamie Rwanda akamhoji Kagame.
Uhuni au Uhuru?Nchi ina uhuru sana hii
Yeye ni Mtanzania sio Mnyarwanda.Ahamie Rwanda akamhoji Kagame.
Bahati mbaya hahami yupo kuwakera tu ccm hadi mkereke😂Ahamie Rwanda akamhoji Kagame.
Uhuru sana wa kuropokaUhuni au Uhuru?