Mahakama ya mafisadi iko wapi ifanye kazi yake?
hakimu ni jinga kabisa,eti milioni mbili au kwenda jela miezi sita,chenge,tibaijuka na kinana wanadunda mtaani pia....pambaf ccm!!!!
Milioni 81 wanahukumiwa
Mabilioni wapo kitaa
Nakupenda Tanzania
Kwani unadhani hiyo mahakama tuna haja ya kuwa nayo, ni mbwe mbwe tu ya watu wenye ugiligili wa udikteta unaoanzia kwenye familia zao!!Mahakama ya mafisadi iko wapi ifanye kazi yake?
Huyo mchaga kati ya watu wangapi. Kwani magereza ya Tanzania yamejaa wachaga? Nyie kwa ubaguzi mmeshindikana!! Hata Bwana Salehe naye alikuwepo, ila ndiyo hivyo tena katangulia mbele ya haki!!Mchagga ndani!
Huyo mchaga kati ya watu wangapi. Kwani magereza ya Tanzania yamejaa wachaga? Nyie kwa ubaguzi mmeshindikana!! Hata Bwana Salehe naye alikuwepo, ila ndiyo hivyo tena katungulia mbele ya haki!!
Kwenye lile sakata la wizi kwenye Bandari ya Tanga ulisema "wagalatia kwa wizi" au umeshasahau? Wewe ni KABURU!Kwani hakuna mchagga anaeitwa Salehe?
Unanshangaza!
Okay, nilistuka nawe unataka kuunganishwahapana, my classmate
Eti kesi ya kugushi nyaraka na kuhujumu uchumi..
Amehukumiwa kulipa 300,000/= kila kosa au jela miezi 6!!!
Hizi sheria zilitungwa kwa ajili ya maskini na wanyonge maana wao hukumu zao ni miaka mingi jela na faini kubwa kubwa.
So ulitaka wasihukumiwe au?Milioni 81 wanahukumiwa
Mabilioni wapo kitaa
Nakupenda Tanzania