Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,174
- 10,650
Hadi hapa ameshatambua yeye yupo katika kundi gani, maana alitegemea wakongwe watampa kick mwisho wa siku kajikuta anachangia mwenyewe ...Atakuwa kapuka
teamkick
Hadi hapa ameshatambua yeye yupo katika kundi gani, maana alitegemea wakongwe watampa kick mwisho wa siku kajikuta anachangia mwenyewe ...Atakuwa kapuka
teamkick
We kapuku ama vepeee
afadhali kipenzi nilishaanza kuwaza vingine ............Aaaah, utoto huo na mimi wapi na wapi.
mkuu ungetafuta mabandiko yetu makapuku then linganisheni na Mabandiko Yenu tuone ni watu gani wanatumia Akili kuliko wengine.Tatizo vijana waliojiunga hivi karibuni hawana adabu kwa wakubwa zao.....yale mambo na matukio yao wanayoyafanya huko wakiwa vichochoroni na watoto wenzao wanataka kuyaleta hapa....hawajui kuwa hapa ni kuna mjumuiko wa watu mbali mbali wakiwamo pia wazee wao.........
Haijalishi wewe ni mgeni au ni mwenyeji bali unachotakiwa ni kuwa na heshima na watu wa humu na kuepukana na lugha chafu.....hakika utajisikia kama upo nyumbani.....
Teh.. teehh.....teeehhhhFanya yako mkuu achana na makapuku
Hahaahaaaa......Ila asavali wameunda Kundi Lao upuuzi umepungua sana
ohhhpppsssss....Mambo yasiyokuhusu achana nayo, kama hupendi kuitwa kapuku kwa nini unawafuatilia ?
Kumbe humu kuna Sisi na Wao...Hadi hapa ameshatambua yeye yupo katika kundi gani, maana alitegemea wakongwe watampa kick mwisho wa siku kajikuta anachangia mwenyewe ...
sisi ni zaidi ya hao uliyo wataja.. Na makapuku haikuanzishwa kwa Sababu ya kutafuta umaarufu.. Wengine tushakuwa zaidi ya hao kwa kutumia akili, mijadala ya Hoja kwa hoja pia na Thread ambazo hata hao wakongwe hawawezi kuziandika na usuperstar wao waliyonao
mkuu ungetafuta mabandiko yetu makapuku then linganisheni na Mabandiko Yenu tuone ni watu gani wanatumia Akili kuliko wengine.
Pia tafuta michango Yetu Makapuku hapa jf,, pita katika majukwaa Yote then uangalie watu gani ambao wanatumia Akili kuliko wengine...
Binafsi nimeshakuwa na Awards kibao kutoka kwa uongozi wa Jf kutokana na Michango Yangu na Mabandiko Yangu Ambayo hata hao na wewe mwenyewe hamuwezi kuandika wala kuchangia.
Makapuku imeanzishwa Ili kuleta Usawa jf.. Usawa ambao unapotezwa na wanaojiita Watu maarufu... Usawa wa kupingana kupitia Hoja Kwa hoja na Sio kisa nani kawahi na nani kachelewa kujiunga Jf.
Cha Ajabu hao unaowaita Wakongwe au Maarufu Hawakuwahi wala hawawezi Kuanzisha Bandiko la Aina Yoyote kutokana na kuwa Weupe Kichwani. Naamini mtoa bandiko ameamua Kujipendekeza kwa Watu, lakini Ukiangalia kwa Jicho la Tatu hao uliyowataja Wote wapo sawa na Mimi pamoja na Makapuku Wenzangu.. Rudini Mkatafute Hoja Zenye Mashiko sio Kuendekeza Hoja Za kuleta Utengano... Samahani sana Mkuu Asprin lakini ukweli hauna budi kusemwa
Ila asavali wameunda Kundi Lao upuuzi umepungua sana
katika watu ambao wako jf na hawastahili kuwepo jf wewe ni mmoja wao.. Umekuwa mwili tu lakini akili hunaIla asavali wameunda Kundi Lao upuuzi umepungua sana
msalimie Shemu wa pale Corner BarSawa bwana mdogo....nakutakia wakati mwema.....
msalimie Shemu wa pale Corner Bar
Hadi leo hakijaelewekaila kuna ukweli kwenye issue ya likes notification zaweza kuwa 20 but zinasoma 5 tu. ila hazina madhara labda hao wanaoziwaza @invissible
Na mimi nahitaji kuufahamu unakuwaje...Kwani umaarufu wa JF ndio ukoje huo?
Ngoja watujuzeNa mimi nahitaji kuufahamu unakuwaje...
Achana nao hao masnitch, wamekuwa wanatushambilia sisi MAKAPUKU daily lakini wameshindwa.Na mimi nahitaji kuufahamu unakuwaje...
Safi Sana Jonax...makofi kwako tafadhaliAchana nao hao masnitch, wamekuwa wanatushambilia sisi MAKAPUKU daily lakini wameshindwa.
Kwenye jumuia yetu ya Makapuku tumekuwa tunaishi kwa upendo ma umoja.
Hivyo wakiona hibyo roho zinawaumaView attachment 378069