Kasinja jr
JF-Expert Member
- Aug 4, 2017
- 1,034
- 1,812
- Thread starter
-
- #41
Hujaelewa we ndo lofa ungepitia uzi wa kwanza ungeelewa, akaunt ni yangu lakin nilikuwa natunza hela kwa ajiri ya kufungua biashara yake baada ya kuoana, mwakani, that's y akajua password lakin akaunt zangu za kawaida hagusiIla acha ulofa mwanamke hujamuoa unampa namba zako zasiri kila sehem ili iweje ???badilika mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unapenda kuhongwa?Thubutuu yako
umfanyie vyote hivi...wanaume wenyewe nyie wa siku hizi msiopenda kuhonga!!
ila hadithi yako tamuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Umsema namba zasiri anajua mpaka tigo pese sijui kcb sasa.acha kujichanganya hiyo account ya kcb ulifunguliaje kwajina lake ???acha kutuzingua bwana .Hujaelewa we ndo lofa ungepitia uzi wa kwanza ungeelewa, akaunt ni yangu lakin nilikuwa natunza hela kwa ajiri ya kufungua biashara yake baada ya kuoana, mwakani, that's y akajua password lakin akaunt zangu za kawaida hagusi
....Hahahaaaa ukajipongeza na wimbo wa Bella!! Namkubali sana Christian BellaHawa wanawake hawa, ndo maana mungu aliwapa jina Hawa,
Sawa sawa tu ilikuwa inampa jeuriBinafsi naona ulipitiliza mno , hadi sim uliyomnunuliaga unanyang'ang'anya?
Wanawake bwana kasema ndugu Zake hawapendi aolewe sasa hivi mpaka amalize degree , nikaona miyeyusho,
Akaanza kuondoka taratibuuu nami nikakunja mkono taratiiibuu, nilichukua hatua zifuatazo
1. Nina biashara, alizoea kufika pale kuchukua chapaaa Na nilimpa ruksa ya kuingia hata kuchukua chochote, nimebadili mbinu kazibwa,
2. Nilipomwekea bill ya kusuka nitakuwa nalipa nako ameenda kakuta msusi kanuna, Na inabidi ajilipie bill iliyopita maana ilikuwa bado haijalipwa,nampaga alipe end of month,
3. Kajichanganya sana simu nikununulie mimi, alafu uitumie kunambia tuachane, kaleta kuchaji kwa dogo kwenye biashara ikapigwa pini ,alafu simu bei Kali mno
4. Password zote nilizokuwa nashare naye zimebadilika mbaya zaid nimeiblock namba yangu ya tigopesa maana Alikuwa nayo yeye, nimewasiliana makao makuu wakaiblock nikarenew nyingine, ATM CARD ya benk ya KCB nimereport imepotea nkapatiwa nyingine ,
Maana ndo kulikuwa Na hela nimemtengea kwa biashara yake,
Sasa Leo nipo kwa hotel napata msosi naona namba mpya,
Naona SMS za uko, nkajibu akajitambulisha Na line nyingine
Eti ooo Johnson unajua mi naona MAMBO ya chuo michosho tu, naona hata diploma inanitosha sana,
Nimecheka sanaaa ikabidi ni download wimbo wa Christian belaa amerudi analiaa heeeee anatia huruumaa,
Nyambafu halegezwi mtu tena hapa, maana nimegundua ndugu sio walomwambia kusoma ilikua anaondoka ni gia tu,
Wanawake nuksiiiii
Nimrudie au ? hahahahaha
Huyo kung'uta mimba alafu mwambie nenda shule, ataacha mwenyewe shule.Wanawake bwana kasema ndugu Zake hawapendi aolewe sasa hivi mpaka amalize degree , nikaona miyeyusho,