Mr.Junior
JF-Expert Member
- Sep 8, 2013
- 11,969
- 10,339
Domo ndio nani?We mwenyewe hujitambui huyo FA si ndo ameimba ahsanteni kwa kuja na kufanya video ya vichupi ambapo haijulikani kama script alitoa yeye au director?kwan domo ndo anakukera au mafanikio yake yanakukera?