Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...
Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....
Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........
Nakubaliana nawe, kuna wimbo alitunga mzee wetu Ali Kiba haufai kuusikia au kuuangalia wakati wa kula au kujipumzisha . Wimbo huo unaitwa usinitenge, mshikaji anadai walimnyima chakula akaamua kula mayai ili atengeneze nyuklia kuwakimoa watu wanaokula.Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...
Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....
Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........
hahaa, kaanzisha tena upi hiv?We mjomba leo siku umeifumania wapi Wi-Fi ya bure, maana unaanzisha threads kibao, alimradi tu.
Bando la university offer babuWe mjomba leo siku umeifumania wapi Wi-Fi ya bure, maana unaanzisha threads kibao, alimradi tu.
Alitisha sanaBinamu enzi za ujana wake
Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...
Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....
Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........
Wakati wewe unaangaika na kumringanisha huyo mwenye muziki unaokaa miaka milioni 570, huyu mwenye muziki unaokaa dakika 5 hafikiwi na msanii yeyote wa TZ si mali, fedha wala sifa yoyote inayohusu muziki sembuse Fa.t.u.m.a ambaye hata akikatiza Makumbusho stendi kwa miguu hakuna anayehisi uwepo wake.Ni moja ya ngoma ambayo mpaka leo inaishi wakati imetoka miaka kama kumi iv imepita....ukiisikiza haiishi utamu daah apa fa aliumiza kichwa pembeni na komando jide...
Namisi sana aina ya miziki yenye radha hii wasanii kipindi icho walikuwa wanaumiza vichwa mziki unaish miaka mia bila kupoteza radha....
Cyo miziki ya kina domo leo unatoka kesho ushachuja yaani ilimradi tu umeimba........
We mwenyewe hujitambui huyo FA si ndo ameimba ahsanteni kwa kuja na kufanya video ya vichupi ambapo haijulikani kama script alitoa yeye au director?kwan domo ndo anakukera au mafanikio yake yanakukera?
Hivi Jide ana historia ya kukubali suluhu akishagombana na mtu?Hvi Mwana FA washapatana na Jide?