McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,388
- 7,557
Nani muandishi wa hii script hakika itakua bonge la muvi kwenye nafasi ya uyo binti mpeni Wolper na ex-boyfriend awe Ray hakika mtaikomboa bongo movie.
HahahhhNdo ilikuwa lengo lako asante tumesha jua unamiliki viwili
Asante kwa kutusimlia kuwa una gari
Na pia ni Mshamba sana.Kiongozi inaonyesha huyo jamaa ni ke.
haa haaa jamani maana kasema kaliwasha lakini hasemi kama kazima.Hukuzima gari uliposhuka?!
Hahhaaaa haa Jf jamaniHukuzima gari uliposhuka?!
And delivered...meseji sent
upuuzi mtupu, raynew hujielewi na haujui maisha wewe-ex wangu wa zamani
-amepigika na maisha
-nikamwangalia kwa dharau
-ananipa mkono tusameheane yaishe
-Rafiki yangu akabaki kaduwaa tu hatukuagiza chochote
-nimecheka saana