Alikiba: niliacha kufanya videos sababu ya watu kutuma robot youTube

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
15,144
21,105
Msanii wa kizazi kipya wa bongofleva alikiba maarufu kama kingkiba wakati akifanya interview na cloudsfm amefunguka kuwa kuna watu wanaweka robot na wanajidanganya kuwa na views wengi hii imempelekea kuachia audio bila kuwa na video
 
sasa kufanya kwao wewe kunakuzuia vipi kufanya video. Si wao kama wanatumia roboti, wewe endelea kutumia views halali au alikuwa anashindana nao?
Ni sawa useme niliacha biashara kwa sababu majirani zangu walikuwa wanadai wanauza sana kumbe sio kweli.
 
Au aliacha kuuza bia kwa sababu majirani zake walikua wanauza gongo😁😁😁
 
Huyu jamaa angekuwa demu ningeuza hata nyumba ya ukoo hela zote nimuhonge ili mradi nimbandue tu hata mara moja kuhusu mafuta ningemuona p diddy.
 
Kuna jamaa alikuwa shabiki haswa wa Alikiba na alikuwa anamfatilia sana lakin baadae alipunguza ushabik kwasababu ya mashauz ya alikiba ,kwanza alikuwa hana time na shabiki zake,yaan yeye ukimtaka mtake lakin usitegemee eti anategemea sapoti yako

Loveness love diva na Mange kimambi ni mashahidi wa hilo
 
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom