Subiri uletewe toy ndio utajua hujui.Habari?
Nilikuwa natafuta INCUBATOR sasa ktk pitapita mtandaoni nimekutana na hizi App za AliExpress na Kikuu Zina hizo mashine nazohitaji Tena kwa affordable price kwangu.
Je ninaweza kuagiza na kulipia kweny hizi Apps Zina uhakika au nitapigwa?
Tatizo la kikuu ni Nini? Na AliExpress uzuri wao ni Nini?AliExpress wako vizuri Ila kikuu ni tatizo