kichomiz
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 19,254
- 12,237
Kwani mleta mada amesema wasipewe motisha?au protocol izingatiwe?soma uielewe post usisome ili mladi umesomaHuu ni uzalendo na motisha kwa watu wake. Mfuatilie raisi Trump uone anavyotoa random thoughts out of protocol . Sababu hawa ni watanzania na mhe anajua hali ni ngumu wacha awape motisha