Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,487
Mayai namfananisha na wakina Hashimu Rungwe kwenye mbio za Urais wa Tanzania.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Mungu anakuona ujue
Mayai namfananisha na wakina Hashimu Rungwe kwenye mbio za Urais wa Tanzania.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Kwani huyo malinzi mwenye CV katuletea nn kwenye soka letu...?Tuwekeeni CV yake basi hapa porojo nyingi hatutaki. Hata Michel Platin alikuwa mchezaji hodari uwanjani lakini lilipokuwa swala la uongozi wa chama cha mpira/UEFA lilimshinda na akatia aibu kubwa sana.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hahahahahahha nyumba ndogo ya malinziMayai namfananisha na wakina Hashimu Rungwe kwenye mbio za Urais wa Tanzania.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Vipi lile wazo langu ulishalifanyia kazi la kumpeleka mkeo pale TFF ili kupendeze kama ulivyosema?Hahahahahahha nyumba ndogo ya malinzi
Kama hujui Malinzi kafanya nini mpaka sasa basi wewe ni zaidi ya bashite.Kwani huyo malinzi mwenye CV katuletea nn kwenye soka letu...?
Nimekuuliza swali unaleta majibu ya dhihaka,Kama hujui Malinzi kafanya nini mpaka sasa basi wewe ni zaidi ya bashite.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Hv kuna Uzi unakupita kweli?Hongera zao..tusubiri uchaguzi
Siku akitoka pale tukaribishane kufanya shereheMalinzi mwanzo mwisho
Karume mpaka fifa
Mwenyekit wa uchaguzi aunde yeye wajumbe kafanya nao kazi na anawalipa posho yeye utegemee ashindweSiku akitoka pale tukaribishane kufanya sherehe
Achana nao hao vichwa panzi.Mwenyekit wa uchaguzi aunde yeye wajumbe kafanya nao kazi na anawalipa posho yeye utegemee ashindwe
Sasa platini ndo Mayai??Tuwekeeni CV yake basi hapa porojo nyingi hatutaki. Hata Michel Platin alikuwa mchezaji hodari uwanjani lakini lilipokuwa swala la uongozi wa chama cha mpira/UEFA lilimshinda na akatia aibu kubwa sana.
Sent from my Vodafone Smart Tab 3G using JamiiForums mobile app
Huo ni mfano kwa waliokuwa wachezaji hodari waliongia kwenye uongozi wa mpira ukawashinda.Sasa platini ndo Mayai??
Ni hivi, ndio kuna nyuzi zinanipita tu....Tena nyingi mkuuHv kuna Uzi unakupita kweli?