Ali Kessy: Roma Mkatoliki anamtukana Rais halafu anaachiwa? Utawala gani huu?

Kumjadili mbunge huyo Ally kessy ambaye ni darasa la Saba B .hajielewi hata kanuni za bunge kuzisoma zinampa shida ni wale wale wanafiki n wachumia tumbo ambao kila siku yeye ni hewala bwana.Amesahau yeye firigisu alizofanyiwa na hao hao ccm wakati akiwa NCCR .
Kasahau figisu alizofanyiwa kwenye bunge maalumu la katiba vile vile, huyu alilalamika mbele ya camera kuwa wanalazimishwa kusema wasichokiamini kwa lengo la kukilinda chama chao, hapa ishu ilikuwa ni muungano, leo kasahau yote anabwatuka tu.
 
Kwa hapa hakuna kujiuliza serikali ndiyo inayo teka wananchi hivi najiuliza mambo anayo fanyiwa donard trump ingekuwa ndiyo hapa bongo si wangenyonga watu kabisa?
 
nashangaa sana kuona huyu kijana yupo mitaani anadunda..ndo maana aliamua kujiteka ili kukwepa mkono wa sheria.. hivi kila MTU akiamua jumkosoa raisi kupitia kazi yake nchi itakwenda kweli? Roma ana kesi ya kujibu
Hujui kitu na unacoment hii ni kwa watu wachache sana hutokea, Roma kamtukana rais wapi, na ipi kesi yake tueleze mkuu
 
Wasanii wanmchezea sana Magufuli!
mkuu, mtoto wako mdogo wa mwaka mmoja unapomkataza kwa nguvu zote kufanya kitu fulani, yeye ndiyo huzididisha!

solution ni kukigeuza kile anachong'ang'ania kufanya kama kamchezo fulani hivi kati yenu wawili, katoto katafurahi. itafika mahala katoto kako kataboreka katatafuta mchezo mwengine. huo ndiyo ulezi sahihi wa mtoto!
 
Waziri anakanusha si serikali mbunge anathibisha ni serikali lakini wimbo huo kausikia yeye tuu. Kwanza MTU wa Burundi huyu si mtanzania
 
Kabisa tukikubaliana na huu upuuzi unaoendelea kila siku ipo siku mambo yatakuwa mengine
 
mkuu, mtoto wako mdogo wa mwaka mmoja unapomkataza kwa nguvu zote kufanya kitu fulani, yeye ndiyo huzididisha!

solution ni kukigeuza kile anachong'ang'ania kufanya kama kamchezo fulani hivi kati yenu wawili, katoto katafurahi. itafika mahala katoto kako kataboreka katatafuta mchezo mwengine. huo ndiyo ulezi sahihi wa mtoto!
Katoto kangu kalianza kuvuta makaratasi nikajiunga nako kakaona mchezo kakaanza kuvuta sigara nikavuta kakaona mchezo kakahamia kwenye bangi nikakafuata sasa kamehamia kwenye unga bado tuko sambamba mpaka kaboreke kataacha kenyewe tu
 
Shida watanzania hatupendi kuusikia ukweli,na ukweli unaposemwa basi hutoka kwa kiburi kwamba katukanwa,sijona mahali Roma alipomtukana Rais,hata kama wanasema alimtukana bado sheria ya mtandao ipo angeshtakiwa kwa hilo lakini siyo kutekwa,kuteswa na kunyanyaswa.
sana mkuuu Joka IKULU, Ikulu ipi hata makagari yangu yako ikulu
 
Mimi nimewahi kusema kuwa, wakati umefika sasa Rais wetu aende mbali zaidi hasa kwa watu wanaoleta mzaha mzaha.
Rais atumie mbinu alizotumia SADDAM HUSSEIN kuwaadhibu waliokuwa wanaleta mizaha kama hii.
Hawa wapuuzi wakiendelea kuachwa tu wafanye watakacho kwa kisingizio cha DEMOKRASIA au UHURU wa kutoa maoni, tusishangae siku moja wanakwenda kumwimba Rais hadi IKULU.
Nadhani na mwisho wa Sadam Husein uliouna mkuu,busara kwa pande zote mbili ndo muhimu.
 
Shida watanzania hatupendi kuusikia ukweli,na ukweli unaposemwa basi hutoka kwa kiburi kwamba katukanwa,sijona mahali Roma alipomtukana Rais,hata kama wanasema alimtukana bado sheria ya mtandao ipo angeshtakiwa kwa hilo lakini siyo kutekwa,kuteswa na kunyanyaswa.
 
Kwa kumtukana Rais, Kama kweli angetekwa na serikali asingerudi,. Sasa Mara kajiteka Mara katekwa na serikali, mbona mnakuwa bendera kufuata upepo?
Kessy kututhibitishia kwamba Roma alitekwa na serikali. Hukumsikia aliposema kwamba hakuna nchi itavumilia rais kutukanwa? Binafsi sijausikia huo wimbo wa Roma kumtusi Magufuli.
 
Back
Top Bottom