MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,290
- 35,998
Division Five wana comment wapi?
Pole kwa division zero unajua umuhimu wa ELIMU ni mkubwa mnoo na hatuwezi kuukataa.Mimi ni miongoni mwa zero ila nmewazidi maarifa watu wengi sana wenye degree.. ajifunze kuchanganua
Elimu iliyopo ni ya hovyo kupata kutokea