Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,724
- 4,475
Wakuu,
Kama unajua una divisheni 0 au division four una ujumbe wako hapa kutoka kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila.
====================================
Mkuu wa Dar Es Salaam, Albert Chalamila akizijengea uwezo hoja zilizotoka kutoka kwa walimu juu ya changamoto zinazoweza kusababisha kushuka kiwango cha ufaulu Sekondari, RC Chalamila amesema:
"Hiki kizazi ambacho kimepata divisheni zero au four ya mwisho mwisho je tunaki train kukiweka kundi lipi? Kinapaswa kuitwa Asset au Liability? Je tunategemea kuwa na human capital ya aina gani?
"Mwisho tunakuja kuzalisha kizazi ambacho hakina tija kwenye Taifa.
Kwenye philosophia Kila conclusion unayoifikia lazima itokane na premises ulizoziset? Lakini hizo premises ili zikidhi vigezo lazima zijitenge na Fallacy."
"Hoja zote hizo mlizongumza nazikubali lakini mnapaswa kwenda ndani zaidi lakini pia fanyeni majaribio katika hoja hizi. Kwa mfano hizi hoja tumeletewa watoto wenye daraja C, utoro, chakula mashuleni"
"Chukueni shule moja badilisheni kuwa Boarding, wekeni mazingira lazima mtoto ale, lazima mtoto asome, alafu tuone huyo aliyetoka na C shule ya Msingi Je ataendelea kuwa C?"
"Turudi upya kwenye majopo ya utafiti ili tuweze kukubaliana sababu ni zipi katika kuathiri kiwango cha ufaulu.Nini kifanyike ili kuwe na language fluency?
"Lazima tukubaliane tunawekezaje katika lugha ya kiingereza, kwa sasa imekuwa ni disaster. Tuone namna tunayoweza kusaidia watoto kuji unlock kwenye changamoto ya language."
Source: East Africa Radio