Alafu nyie watoto wa kishua, sio kila mtoto wa uswahilini ni kibaka. Wakati mwingine, please show us some respect

Wakishua 80% wana dharau sana Mzee..
 
ndio maana wengine ni ndugu zetu lakini tunaogopa hata kuwatembelea huko Ununio na Mbweni kwa maana kwa mavazi yetu tu mtatuona kama vile wezi..
NAONGEZEA: Alafu tukikutana katika misiba sasa, oohoo mbona hauji kunitembelea siku hizi mtoto wa kaka yangu, kumbe kimoyomoyo unasema "huyu kibaka sitaka hata akanyage kwenye tiles za home kwangu"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…