Edward Wanjala
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 8,122
- 6,427
Kumbe jeshi la TZ hufanya nini?? Wamawahi ingia vita na Maghaidi?? Na usiniambia waasi!! Hilo jeshi linajua nini zaidi ya Militia?? Wacha wabaki tu huko Dar ile siku watajifanya watokee, ndio wataelewa yepi yanajiri duniani kweli maswala ya ughaidiKenya bado inamtihani Mgumu sana
pia lazima wakubari jeshi la kenya ndio jeshi dhaifu hapa EA kiukweli.
Maslahi iko,waislamu niwengi kwenyu,kuna kadhaa wameshikwa kenya wakiingia somalia,juzi mmeita alshabaab majambazi walioua ma askari wenyu,wacha tungoje niHatuwezi kupeleka jeshi letu huko maana hakuna maslahi yoyote Kwa taifa letu tz
Kupeleka wanajeshi wetu huko hakuna maana yoyote ile Kwa ulinzi wa taifa letu ni sawa na kukurupuka inabidi walinde nyumbani sio ugeniniMaslahi iko,waislamu niwengi kwenyu,kuna kadhaa wameshikwa kenya wakiingia somalia,juzi mmeita alshabaab majambazi walioua ma askari wenyu,wacha tungoje ni
Kenya tumeingia somalia kucreate stability,its a potential market for business,plus creating preventive measures for insecurity for the greater east africaKupeleka wanajeshi wetu huko hakuna maana yoyote ile Kwa ulinzi wa taifa letu ni sawa na kukurupuka inabidi walinde nyumbani sio ugenini
Kwetu haitakuwa na manufaa kwasababu tukombali nao ni sawa na nyie kupeleka jeshi enu ZambiaKenya tumeingia somalia kucreate stability,its a potential market for business,plus creating preventive measures for insecurity for the greater east africa
Kwetu haitakuwa na manufaa kwasababu tukombali nao ni sawa na nyie kupeleka jeshi enu Zambia
Burundi tumepakana nayo kumbuka,kupeleka jeshi letu Somalia ni zaidi ya ulimbukeniMbona Burundi wakapeleka ilhali wako mbali nanyi?? Sielewi mko mbali vipi??
Kwani Tanzania ni nchi ama ni Kijiji??
Kuna wakati Kenya ilipeleka wanajeshi Cote D'Ivore, West Africa, Kwa nini??Burundi tumepakana nayo kumbuka,kupeleka jeshi letu Somalia ni zaidi ya ulimbukeni
Yote tisa ,kumi tunamambo mengi ya kufanya ili kuliendeleza taifa letu,yenye manufaa makubwa kuliko hiloKuna wakati Kenya ilipeleka wanajeshi Cote D'Ivore, West Africa, Kwa nini??
Nchi zikihusika kuleta amani hustawisha biashara kati ya nchi hizo mbili!
Raisi wa Somalia alichukulia mamlaka hapa Nairobi, na kuishi Kenya hadi Somalia kupotulia kidogo kule Mogadisho!! Sahizi biashara kati ya Kenya na Somalia ni ajabu!!
Ni market ambayo hatukuwa nayo, Hivi sasa hata Tanzania mkatae kufanya na sisi biashara, tayari tuko sawa!!
Hii ndio maana nchi husaidiana kuleta amani baina yazo
Daaah! Kujitenga ni kujiua wenyewe kama TaifaYote tisa ,kumi tunamambo mengi ya kufanya ili kuliendeleza taifa letu,yenye manufaa makubwa kuliko hilo
Tz kupeleka majeshi somalia ni kuinufaisha Kenya tu,hamna jipyaDaaah! Kujitenga ni kujiua wenyewe kama Taifa
Sasa ni zamu yenu, Tanzania ilipigana kuleta stability na Uhuru kwa Africa, sasa tunajenga uchumi. Hao wapiganaji wasiokuwa hata na proper training hawapaswi kuwasumbua.Kenya tumeingia somalia kucreate stability,its a potential market for business,plus creating preventive measures for insecurity for the greater east africa
Chuki hiyoTz kupeleka majeshi somalia ni kuinufaisha Kenya tu,hamna jipya
Al Shabaab si mchezo. Those islamist groups are very organised. Taliban imewasumbua USA. ISIS inawasumbua USA, Russia na other super powers. Btw Al Shabaab ni an affiliate wa ISISLkn kila siku Jamaa wanasema wana jeshi bora EA and yet they can't get rid of the poorly armed militia
Mzee mwenzangu mbona unazeeka vibaya hivi? Hivi jeshi la nchi utasema libaki huko dar kweli?Kumbe jeshi la TZ hufanya nini?? Wamawahi ingia vita na Maghaidi?? Na usiniambia waasi!! Hilo jeshi linajua nini zaidi ya Militia?? Wacha wabaki tu huko Dar ile siku watajifanya watokee, ndio wataelewa yepi yanajiri duniani kweli maswala ya ughaidi
Mko nyuma ya computer mnatype upuuzi na jeshi lenyu haijawaii karibia somalia, kama nyinyi mko imara ingieni somalia mpigane na mtu ameamua kufa aendee mbinguni tuone,jeshi la kupasua matofali
Hujui kitu kuhusu maonyesho ya majeshi wewe!Tanzania jeshi la wapasuaji matofali