Al Shabab wavamia Kambi ya jeshi la Kenya Kolbiyow

Kenya bado inamtihani Mgumu sana
pia lazima wakubari jeshi la kenya ndio jeshi dhaifu hapa EA kiukweli.
Kumbe jeshi la TZ hufanya nini?? Wamawahi ingia vita na Maghaidi?? Na usiniambia waasi!! Hilo jeshi linajua nini zaidi ya Militia?? Wacha wabaki tu huko Dar ile siku watajifanya watokee, ndio wataelewa yepi yanajiri duniani kweli maswala ya ughaidi
 
Kupeleka wanajeshi wetu huko hakuna maana yoyote ile Kwa ulinzi wa taifa letu ni sawa na kukurupuka inabidi walinde nyumbani sio ugenini
Kenya tumeingia somalia kucreate stability,its a potential market for business,plus creating preventive measures for insecurity for the greater east africa
 
Kenya tumeingia somalia kucreate stability,its a potential market for business,plus creating preventive measures for insecurity for the greater east africa
Kwetu haitakuwa na manufaa kwasababu tukombali nao ni sawa na nyie kupeleka jeshi enu Zambia
 
Burundi tumepakana nayo kumbuka,kupeleka jeshi letu Somalia ni zaidi ya ulimbukeni
Kuna wakati Kenya ilipeleka wanajeshi Cote D'Ivore, West Africa, Kwa nini??

Nchi zikihusika kuleta amani hustawisha biashara kati ya nchi hizo mbili!

Raisi wa Somalia alichukulia mamlaka hapa Nairobi, na kuishi Kenya hadi Somalia kupotulia kidogo kule Mogadisho!! Sahizi biashara kati ya Kenya na Somalia ni ajabu!!

Ni market ambayo hatukuwa nayo, Hivi sasa hata Tanzania mkatae kufanya na sisi biashara, tayari tuko sawa!!

Hii ndio maana nchi husaidiana kuleta amani baina yazo
 
Yote tisa ,kumi tunamambo mengi ya kufanya ili kuliendeleza taifa letu,yenye manufaa makubwa kuliko hilo
 
Kenya tumeingia somalia kucreate stability,its a potential market for business,plus creating preventive measures for insecurity for the greater east africa
Sasa ni zamu yenu, Tanzania ilipigana kuleta stability na Uhuru kwa Africa, sasa tunajenga uchumi. Hao wapiganaji wasiokuwa hata na proper training hawapaswi kuwasumbua.
 
47071cf8c39904ea70c5010a4e7a0b93.jpg
 
Lkn kila siku Jamaa wanasema wana jeshi bora EA and yet they can't get rid of the poorly armed militia
Al Shabaab si mchezo. Those islamist groups are very organised. Taliban imewasumbua USA. ISIS inawasumbua USA, Russia na other super powers. Btw Al Shabaab ni an affiliate wa ISIS
 
Kumbe jeshi la TZ hufanya nini?? Wamawahi ingia vita na Maghaidi?? Na usiniambia waasi!! Hilo jeshi linajua nini zaidi ya Militia?? Wacha wabaki tu huko Dar ile siku watajifanya watokee, ndio wataelewa yepi yanajiri duniani kweli maswala ya ughaidi
Mzee mwenzangu mbona unazeeka vibaya hivi? Hivi jeshi la nchi utasema libaki huko dar kweli?

Au nyie la kwenu liko compacted hapo nai!

BTW, siungi mkono mambo ya ughaidi nimekuelewesha hilo tu!
 
Mko nyuma ya computer mnatype upuuzi na jeshi lenyu haijawaii karibia somalia, kama nyinyi mko imara ingieni somalia mpigane na mtu ameamua kufa aendee mbinguni tuone,jeshi la kupasua matofali

Somalia ni mfupa ulio mshinda fisi
nyinyi midoli kamwa mnajiaibisha tu!
Jeshi lenyewe halina nidhamu zaidi ya Wizi
 
Tanzania jeshi la wapasuaji matofali
Hujui kitu kuhusu maonyesho ya majeshi wewe!

Kwa muda wako tu, angalia majeshi ya nchi nyingine duniani kwenye maonyesho yasiyo ya siraha halafu urudi hapa! Ukishindwa basi nikusaidie!
 
Back
Top Bottom