Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,869
- 16,921
Duhmyahudi vs mwarab aisee ni kama didi vs dangotee
View attachment 3115477
Hiding among civilians is not right
Mwanetu kapigwa nao 🙆😆🤣. Halafu anavyojifanya kidume sasa! Kifua wazi kuonyesha six pack ilhali marinda hana. 🤣myahudi vs mwarab aisee ni kama didi vs dangotee
View attachment 3115477
Una uhakika hawachokoz au hutaki kujifunza unataka training bongo.. mm naishia hapaJino kwa jino ndio imani yao. But uzuri hawachokozi; ni wapole kama hua ukiishi nao kwa amani ila wabaya kama simba ukiwapanda kichwani. Wacheni kuichokoza Israel mupate amani.
Taarifa zimevujia Temeke.Taarifa zilishavuja ndege za US na UK ndizo zilizoshambulia Yemen.
Maisha yake lakini,kijana amekomaliaMwanetu kapigwa nao 🙆😆🤣. Halafu anavyojifanya kidume sasa! Kifua wazi kuonyesha six pack ilhali marinda hana. 🤣