Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 1,869
- 7,284
Wanaume wenzagu tuweni makini sana na hawa viumbe.
Huko kwenye viwanja vya starehe kunatisha, wanawake wanakunywa pombe kali, wanavuta bangi, sigara, shisha nk,
Hapohapo kuna wale wa mitaani ambao wakiwa bado wabichi wanaringa sababu wanataka kuonja onja pesa za wanaume wengi.
Sasa hawa wakishatumika, wakishaparty na wakaja kujua hakuna jipya na muda umekwenda, hapo labda washazalishwa basi watatulia na kusubiri 'Mr Nice Guy' mmoja ajitokeze.
Don't be that 'Mr Nice Guy'. Kama amekuvutia, kula sepa. Mwanamke hata kama sio single mother ila kama ana past mbovu hakufai ww kijana unaejielewa.