Hapa kuna utata kidogo kwny ku attach barua. Iweje uandike af uitoe? Mi naona kama wenyewe wameeleza kwny subject uweke post na institution husika, haina haja ya kuitoa ila ku add kila barua na njia yake.
Kuitoa nahisi yaweza kuleta utata baadae.
Mi cfikirii kutoa barua bali ku add za post zingine nazoomba. Ova
umeongea ukwel mtupu mkuu..
me pia niliuliza watu wakashaur unaweka barua ya kwanza then baadae unatoa..
Haiku niingia akilin vizur baadae nikajaribu ku add naona zinaenda tu.
Hata uombe kaz tano tofaut system inakubal wala haina shidaa