mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Sasa kama unafaidi ukada kwanni usifaidi na hao wadogo zako?Mkuu Rais ni wetu watanzania.... Tunapojadili mambo ya msingi kaeni pembeni... Vijana wanahaha huku mtaani wanataka ajira..
Punguzeni ukada. Mimi ni kada tena nafaidi ukada kuliko hata wewe. Ila hili suala linagusa wadofo zetu na ndugu zetu. Acheni unazi..
Waambie wakae chonjo makonda ameshaagiza kusaka wanaokaa nyumbani bila kazi tuwapeleke selo
#Hapakazitu...msitake kumkwamisha rais, ah ahahha lazima tuisome namba