Pagan Amum
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 1,932
- 4,400
Kijana tulia, raissss hakumbushwi na hata akikumbushwa hadi aridhie
Kazi ya kuhakiki wafanyakazi hewa bado linaendelea, tungoje hilo zoezi litakapomalizika ndipo ajira zifanyike.
Sasa hivi wameanza kuangalia Muundo wa Serikali ili Kubaini na Kuunganisha Taasisi zenye Majukumu yanayofanana. Na likimalizika hilo litaanza lingine jipyaaaa!Mpaka sasa serikali imefanya vyema katika hilo... Nafkiri liwe zoezi endelevu ambalo lisizuie ajira mpya kutangazwa kwani watumishi hewa lishafanikiwa kwa kiwango cha juu
Tafuta kazi ya kufanya ajira mpaka mwakani.
Kumuamini mwanachama YEYOTE wa CCM ni sawa kuamini kufufuka kwa maiti jambo ambalo haliwezekaniHeshima kwako Rais Magufuli....
Tafadhali tunaomba tukukumbushe kuwa muda usiozidi miezi miwili (mwezi moja na nusu) za kufungulia ajira za serikali kama ulivyoahidi umeisha jana. Sasa tunaomba ufungulie ajira. Vijana wanahitaji ajira...
Kwa kuwa serikali yako ni sikivu, basi ni mategemeo yetu kuanzia wiki hii tutaanza kuona matangazo ya ajira katika magazeti mbalimbali...
#Tunaomba sana sana!
Ajira subiri hadi 2019 kalime tu na makonder anakuja kukutimua home kazi tu