Ajira uwapa watu pesa ya kula
Kujenga mtu mpaka akope
Ajira iko well calculated ili kuua akili ya waajiriwa wasiwaze nje ya box
Ukitaka kujua ajira utapeli mtu anayelipwa 1.2 million per month pesa anayopeleka nyumbani ni laki 7 baada ya makato yote huu ni ukoloni mambo leo .
Ajira haikupi Uhuru wa kipato ajira.
Mo aliacha ajira newyork Marekani sasahivi ni bilionea.
Ajira nzuri Tanzania usipokuwa mkurugenzi wa shirika kubwa, waziri au mbunge.
Hauwezi kuwa na financial freedom labda uwe jambazi!!!