Ajira: Fundi mechanical na Welding wanahitajika

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
1,020
2,454
Nafasi ya kazi fundi mechanical na Fundi welding wanahitajika, sifa kubwa mbili mtu awenazo awe amesomea na awe na cheti na na pia awe na uzoefu wa kufanya kazi viwandani

Piga 0766320816 kwa maelewano na maelekezo zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom