Ajali ya Bodaboda Ubungo Kibangu: Dereva na mama wafariki, mtoto apona

I have never done any comparison between tax drivers and bodaboda drivers incomes. But sometimes scientific evidences makes people believe other than just using their common sense. Unganisha hizo dots ili upate ukweli maana siyo kila mwendesha bodaboda alianza akiwa mvuta bangi...lakini baada ya muda anakuwa mvuta bangi.
Here is one article:
The first report of people sniffing petrol to get 'high' was in the US in 1934. After that people realised they could also get high from sniffing all sorts of household products that contained volatile fumes: glue, aerosols, chrome-based paint, paint thinner, cleaning fluids and lighter fluids.

American servicemen stationed in the Top End of Australia during the Second World War are thought to have first introduced petrol sniffing to the local Aboriginal people. The practice then spread to other Aboriginal communities across Australia where it continues to be a source of sickness, social dysfunction, and sometimes death.

Although the abuse of other volatile substances like lighter fluid and glue is common in Australia and many other developed countries, petrol sniffing seems to occur mainly among Indigenous groups in remote regions in Canada, America, Australia, New Zealand and some Pacific Islands.

The reasons people in these communities sniff petrol are probably similar to the reasons people use other drugs in other places. It's just that in remote communities, petrol is cheap and easy to get, while other drugs are harder to access. The social disadvantage experienced by Aboriginal people in Australia also contributes to the problem of petrol sniffing in these communities.

significantly reduce the incidence of petrol sniffing in communities where it has been made available.

Other government initiatives include the development of rehabilitation programs and treatment centres, education programs, increased policing, youth services and community support.

Although interventions such as education and controlling supply may reduce the burden somewhat, one report shows nearly all petrol sniffers think they will die as a result of sniffing and yet they keep sniffing. The reasons why these people have lost their will to live needs to be addressed before the social devastation caused by petrol sniffing can be alleviated altogether.

There are, however, many positive and inspiring stories where communities have come up with ways to stop people from sniffing petrol in their communities. The most successful programs have been coordinated approaches involving families, elders, police, health organisations and government organisations.

There is no healthy way to sniff. Sniffing causes serious health problems and can kill.

Reviewed by Professor Dennis Grey, National Drug Research Institute, Curtin University
No point all on this, kwahiyo na wale wanaotowa huduma ya kuuza petrol kwenye vituo vya mafuta mbona wako sawa? Vipi mafundi viatu wanaoshinda na gundi? Mbona wako poa? Au hujui gundi ni ulevi? Pitia mitaa ya Arusha uwaone machokaraa wavuta gundi.
 
Effects of petrol fumes sniffing

Short-term effects
Petrol fumes pass from the lungs to the bloodstream and then to the brain. There it slows down brain activity and depresses the central nervous system in a similar way to alcohol. Within seconds a person can feel euphoric, relaxed, dizzy, numb and light. They may also experience:

  • hallucinations
  • aggression
  • increased libido
  • hunger
  • lack of coordination, staggering
  • disorientation
  • slurred speech
  • coughing, wheezing
  • vomiting
  • slow reflexes
They may look like someone who is drunk on alcohol but act a bit more strangely. Sometimes you can smell the strong odour of petrol on them. These effects can last up to an hour, and longer if they keep sniffing. In serious cases people may have fits.

It is possible to die from sniffing because the petrol is taking the place of oxygen in the blood and not enough oxygen is being taken to the brain. People have died this way from sniffing with a jumper or blanket around their head because it stops oxygen getting to the lungs.

People have died from doing exercise like running or playing football straight after sniffing. The combined stress of sniffing and exercise put too much pressure on the heart.

Many people who sniff have suffered serious burns or death because the petrol caught fire. Sniffing around any flames or fire is very dangerous.

Long-term effects
The list of health problems caused by sniffing is enormous. The poisonous chemicals in petrol gradually damage the brain, the heart, the lungs, the immune system, the liver and the kidneys. The longer a person sniffs, the worse they damage these organs.

Over the first few years of sniffing petrol, people will begin to show signs of brain damage that will affect their ability to think clearly, concentrate, remember things, learn new things and solve problems. If the sniffing continues, the part of the brain that controls movement and balance is damaged and the person can't walk and talk properly. Many sniffers end up in a wheelchair with permanent brain damage. Some of the brain damage caused by sniffing can repair itself if the person stops sniffing, but the longer they sniff, the less chance there is that the brain will recover.

Sniffing also leads to behavioural and social problems and sniffers often get in trouble with the law for vandalism, violence, robbery and rape. They find it difficult to stay at school and hold down jobs.

Sniffing while pregnant can cause birth defects, such as physical and intellectual disabilities, and may also stop the brain from developing properly.
 
Siku moja nikapanda lakini kwa kuangalia umri wa dreva, nikamchagua mzee wa makamo, ile kuendesha kidogo tu nasikia harufu ya viroba, boda boda wote ni walevi
 
Duh....bodaboda driver ka.n.y.a utumbo,Mungu atuepushe na majanga haya na roho za marehemu zipumzike kwa amani.
 
No point all on this, kwahiyo na wale wanaotowa huduma ya kuuza petrol kwenye vituo vya mafuta mbona wako sawa? Vipi mafundi viatu wanaoshinda na gundi? Mbona wako poa? Au hujui gundi ni ulevi? Pitia mitaa ya Arusha uwaone machokaraa wavuta gundi.
Which performance indices are you using to justify your points kuwa wako sawa i.e., okay or hawako okay? Stretch your mind to think wider siyo kukataa tu ili uonekane unabisha. Hii kitu iko serious na ni janga la kitaifa lakini kwa sababu watu hawako makini na masuala ya afya ndiyo maana inaonekana suala la kawaida watu kupoteza maisha kwa sababu ya bodaboda wrong operations.
Angalia effects on the brain engine i.e., CNS. Kama na hapa huelewi mkuu basi ngoja nikutafutie muda mwingine.
body_petrol.gif
 
Jamani hawa vijana waendesha bodaboda wavuta bangi na wanywa viroba tunawadhibiti vipi ina maana tanzania na mamlaka zake zimeshindwa kuweka mikakati ya kuokoa vifo vya raia , SUMATRA , POLISI kitengo cha TRAFFIC wameshindwa kabisaaa kuepunguza na kuwadhibiti vijana...vijana wanaendesha hovyo, hawavai helmets, hawafuati sheria za barabarani, sahivi bodaboda ndiyo zinaongeza kwa kuchinja kuliko magari sema tu matukio ya ajali ya bodaboda hayatangazwi sana kwenye media ila daily wanapoteza raia, pia vijana wanashiriki kwenye ujambazi pitia hizo hizo bodaboda mamlaka zinafanya jitihada ama bado usingizi mtamu naona wamelala fofofo
 
Ajali mbaya imetokea eneo la Ubungo mataa barabara ya kuelekea Buguruni hapa darajani msaada. Bodaboda ilikuwa imebeba mama na mwanae mwenye umri wa mwaka mmoja.

Bodaboda hiyo iligongwa na gari kubwa ya mizigo aina ya Semitrela.

Watu wawili wamepoteza maisha.
 
Me nadhani boda boda zingepigwa marufuku kuendesha kwenye bara bara kuu. Yan wawe wanaendesha kuingia ndani ndani huko, hiz bara bara kuu ni hatari, na wakati mwingine uzembe uko kwa madereva magari pia, tena unaweza kukuta mtu aliyesababisha ajali sie aliyegonga, unakuta yy kaondoka salama.
Ila all in all hizo ndio changamoto za mataifa yanayokua, ni sheedah, wenye mamlaka uwezo mdogo, wananchi uwezo mdogo kwa hiyo ni vurugu tupu.
 
Hawa jamaa ni tatizo.

Wanang'ang'ania kuovertake magari makubwa hovyo hovyo.
Na sisi abiria ni tatizo, hatujui namna ya kuwadhibiti hawa wajinga wajinga! Unakuta mtu anaburuzwa mpaka anatoa machozi ame-mute tu! Tuwe jasiri kuwapangia namna ya kukuendesha kwenye pikipiki. Kabla hujaanza safari wambie kabisa masharti yako yakoje na mwendo unaoutaka vingine aachane na wewe!!
 
Back
Top Bottom