Ajali Soni-Lushoto: Fuso laua zaidi ya watu 10 baada ya kupinduka kwenye milima ya Usambara

Kwakweli ile milima mibaya sana, mwenyewe pamoja na utu uzima wangu nikipita ile milima roho inakuwa juu.

Kwa akili za watu utakuta kwenye milima hiyo abiria walikuwa wanamsukuma dereva aendeshe na kuonesha umahiri.

Mamlaka husika wafuatilie na wote wanaohusika wakamatwe maana fuso zilishazuiwa kusafirisha abiria.
 
Poleni sana wote mlopoteza ndugu na jamaa na tuwaombee majeruhi wote mungu awape wepesi wa maumivu ili wapone haraka.
 
Hatuna kipimo cha kusema gari hii basi kwa matumizi yoyote, serikali yetu inaanangalia unakata road lecensi basi hata kama imebaki mataili matupu twende kazini. Rip ndugu zetu.
 
Back
Top Bottom