Ajabu ya huyu mwanaume

Dah... Leo nimepita mitaa fulani uswazi nimekuta bonge la mtafaruku..... Jamaa kamfumania mkewe anatafunwa kwenye nyumbani ya jirani yake....... Cha ajabu mwenye mke alidai alipwe laki 4 ya fumanizi yaishe........
Kweli bana Jamaa kaingia ndani katoka na laki4 kamkabidhi mwenye mke... akazihesabu... Kisha akaita bajaji akasepa na mkewe.... Ajabu sana....
Nasubiri mfumaniwa atulize akili nikaongee naye kishkaji
Hajakosea. Hata kisheria kesi ya fumanizi ni ya madai. Sio jinai. Alichokifanya ni kufupisha soo ya kupelekana mahakamani, kutafuta mashahidi n.k.
 
Sio wanawasiliana na jamaa anajua mke yuko wapi so jamaa akisaula kabla hajaweka dushe jamaa anavamia. Anakula mkwanja Haooooo siku imeingia
Hiyo ipo sana tu, kuna jamaa yy alikuwa anakula dili na mama yake mzazi, walikuwa wanadili na wazungu, mama anajipendekeza kwa wazungu huko arusha, akishaingia laini anawasiliana na mwanae ili kutega mitego, wakikubalia wakutane hotel ipi anamjulisha mwanae kisha bonge la fumanizi linafanyika huku wakimkomba dola mzungu na kusepa.
 
Back
Top Bottom