stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 10,885
- 21,613
Inategemea na umewekeza kiasi gani hapo sasa ndio kunapotokea shida,Kuachana kupo stress za nini wadau !!!
Watu ving'ang'anizi!!
Inategemea na umewekeza kiasi gani hapo sasa ndio kunapotokea shida,Kuachana kupo stress za nini wadau !!!
Watu ving'ang'anizi!!
nimesikitishwa sana watu hawaoni ukatili mkubwa huyo Dj aliwafanyia watotoMshaambiwa ishini nao kwa akili, kama huna akili usioe!!
Tangu lini mwanaume na mwanamke wakawa na akili sawa??
Ukiwa na mke jua wewe ni baba yake, kaka yake nk kifupi wewe ni kiongozi wake wa kila kitu.
Huyo jamaa ni zezeta na nyote mnaomsupport dj akiwemo mpwayungu village wote ni mazezeta, huyo ni kama mwanao tu.
Jamaa lilivyo jinga likaacha dogo ashuhudie as if ni ushujaa dogo kuona ***** akikata moto huku baba hajishughulishi na chochote!!
Hesabu hasara songa mbele...Inategemea na umewekeza kiasi gani hapo sasa ndio kunapotokea shida,
Hiyo nafasi ya kushika simu angeitumia kumzuia kwa nguvu au kumshawishi kumbuka yeye ndio mtu mzima alikuwepo pale alipaswa kutambua madhara ya sumu haishangazi kwamba yule mtoto mdogo aliyekuwepo pale angemkuta mama yake bado hajanywa sumu angemzuia hata kwa vilio ila jamaa ameonyesha ukatili wa kutojali..🙌🙌🙌🙌So angemuangalia bila ku record sio mbaya
Ma psychopath yamejaa..unapishana na mtu barabarani unafikiri binadamu kumbe mnyama kavaa nguonimesikitishwa sana watu hawaoni ukatili mkubwa huyo Dj aliwafanyia watoto
kawachia kumbuku mbaya sana maishani mwao huu ni ukatili wa hali ya juu
Sio uuaji Ila mwanamke ana kitu usipomwonyesha njia hawezi kuona njia ndio maana yafaa sana mwanamke kuongozwa na mwanaume, hata km una watoto wawili mmoja wa kike mmoja wa kiume mpe wa kiume amuongoze wa kike sisemi umkandamize wa kike nimekwambia wa kiume amuongoze wa kike km wa kiume ana akili timamu maana kuna watoto wa kiume akili zao fyatu (wanapenda kua wanawake), na utaona matokeo chanya wanawake wanapenda kuongozwa na kufuata njia they all want to be ruled outUna roho ya uuaji
Usipoangalia utakuja kuua....
..... kama bado hujaua
Ulichosema mwanzo na unachosema sana nilichokujibu mwanzo vinakinzana emu jaribu kutulia unapojibu comment,Hesabu hasara songa mbele...
Haya anaenda kuozea jela, amem traumatize mtoto sasa faida iko wapi!
na uzuri haya wasemayo ndio asili ya ukweli 95%Ma psychopath yamejaa..unapishana na mtu barabarani unafikiri binadamu kumbe mnyama kavaa nguo
Nimesema watu ving'ang'aniziUlichosema mwanzo na unachosema sana nilichokujibu mwanzo vinakinzana emu jaribu kutulia unapojibu comment,
Na video itabaki watoto watakuwa wataiona wakiwa na akili ya kutambua makosa ya baba yao kutojali.nimesikitishwa sana watu hawaoni ukatili mkubwa huyo Dj aliwafanyia watoto
kawachia kumbuku mbaya sana maishani mwao huu ni ukatili wa hali ya juu
Kama amekunywa sumu kwa matakwa yake basi mwanaume hana kosa.
Sasa mtu ametaka kufa mm ninani nimzuie?
mbaya sana hii shida kuna watu wanalfikiri mwisho wa urefu wa pua zao hawaijui keshoNa video itabaki watoto watakuwa wataiona wakiwa na akili ya kutambua makosa ya baba yao kutojali.
Watamuuliza kama uliweza mama hata sisi hukushidwa ni basi tu hukupata nafasi ukitambua thamani ya mama yako tambua thamani ya mama wa watoto wako ni mama yao kumbuka hupaswi kumfanya kama mnyama haijalishi vipi manaume unapaswa kushinda kila aina ya vita usiogope kupoteza mali but your honor ...
Hasara ni huyo mwanamke alioa mwanamke kichomi kwa hio kwa kudhihirisha kua ni kichomi kweli kaamua kunywa sumu mbele ya camera mwanamke timamu hawezi kufanya huo ujinga, shtukaNimesema watu ving'ang'anizi
Umesema Inategemea na ulicho invest
Nimekwambia hapo ni hasara tu hamna faida.
Wanawake tunaishi nao tunajua tabia zao mwanamke mwanaume usipokua na msimamo umekwisha unaweza ukatangilia wewe yeye ukamuacha kwa hio ukiwa na msimamo hatua ya mwisho anaona Bora kujimaliza yeye mwenyewe maana wewe umegoma kumalizwa sababu una msimamo wako binafsi, ukiwa huna msimamo mbele ya mwanamke you're dead tena haufi mbele ya camera unakufa usingizini asubuhi anapiga ukunga weeee hukuuuuu majiraniiii anajilizaaa wewe kuja kushtuka umekufaakili yako ndo imeishia hapoo. fikiri nje ya box unakuta msaada kidgo tu wa kisaikolojia angekaa sawa.