Aisee! Shangaa na wewe

Bashiru Bwanali x

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
901
2,504
Wananchi wengi hasa nchini Kenya wamebaki midomo wazi baada ya kuona video iliyovuja ikimuonesha jinsi Dj Brownskin akimrekodi mkewe Sharon Mwangi akijitoa uhai hadi kufa mbele za Watoto wake.

Video hiyo ilianza pale ambapo mkewe anaonekana akikoroga mchanganyiko wa dawa zenye sumu kwenye kikombe, huku akimwambia mumewe kuwa anataka kujiua na baada ya hapo alikunywa na kutupa kikombe na kisha kuketi kwenye kochi.

Dakika chache baadae anaanza kutokwa na povu mdomoni na kuwaambia watoto wake kuwa “nakufa wanangu” – lakini muda wote huo Brownskin haonekani kuchukua hatua yoyote ya kujaribu kuokoa maisha ya mkewe, bali aliendelea kumrekodi akijigaragaza kwenye kochi kisha kuanguka sakafuni.

Baada ya kuanguka sakafuni, Brownskin anamuita msichana mmoja anayedhaniwa kuwa msaidizi wa kazi aliyefika kwenye sebule na kumtaka kumpa maziwa.“Kuna maziwa, hebu mpe maziwa, mlazimishie akunywe,” anasikika Brownskin akimwambia msichana huyo.

Hata hivyo, mkewe wakati huo anaonekana kulemewa kabisa na sumu na yuko sakafuni akijigaragaza kutokana na makali ya sumu mwilini, hawezi hata kushika kikombe cha maziwa.
 
Wananchi wengi hasa nchini Kenya wamebaki midomo wazi baada ya kuona video iliyovuja ikimuonesha jinsi Dj Brownskin akimrekodi mkewe Sharon Mwangi akijitoa uhai hadi kufa mbele za Watoto wake.
sa na sumu na yuko sakafuni akijigaragaza kutokana na makali ya sumu mwilini, hawezi hata kushika kikombe cha maziwa.
Duh..
Huyo Dj Brownskin Bado hajatupwa ndani?!!!
Maana atasaidia upelelezi hadi atajua hajui
 
huyuu jamaa amenisikitisha ata kama humpendi sio kufanya vilee. jamaa anaroho ngumu. kuna kitu watu hawaelewi ila hiyoo damu itamtesa mpaka anaingia kaburini. na huyoo dogo ni mwiba kake.

alafu unakuta yeye ndio chanzo kama ameweza kumvideo akiwa anakata roho. ata video za ngono za wanawake wengine alikuwa anachukua na kuziacha kwenye simu. fck him he derve punshmnt.
 
Kama amekunywa sumu kwa matakwa yake basi mwanaume hana kosa.

Sasa mtu ametaka kufa mm ninani nimzuie?
 
Kataa ndoa nimefika
JamiiForums1459221895.jpg
 
Back
Top Bottom