Aisee majibu ya kwanza kwanza ya nyuzi zinazowekwagwa humu lazima ucheke

Aisee, ni kuwa addicted tu ndio kumenifanya hivi...baada ya kumaliza kazi zangu za msingi ndio nakuja huku kusabahi..nikikuta uzi mpya kama nina cha kuchangia natembea nao mkuu, kwa hiyo usishangae kuniona kwenye baadhi ya thread na nyingine hunioni
Kumbe wa majibu ya kwanza kwanza ninao humu ee???!!!
 
Back
Top Bottom