Ila haya yana mwisho mtu muongo siku zote hata akija kusema ukweli bado huta muamini. Anyway labda ndio business zetu na watu wetu wanapenda hivi baya zaidi na Airtel they cheat to people hawana tofauti.Wapo tena wengi,baadhi ya wabongo tunapenda umbeya na kiki,so jamaa audience kaigeuza kuwa hela.