Migomba
JF-Expert Member
- Nov 30, 2013
- 945
- 1,334
Kiujumla Internet bongo ni majanga. Airtel ndio hao wanasuasua, Voda na tigo wanasema wana 4g lkn inapatikana posta na mlimani city ukienda tandale, mbagala, kibamba, tua ngoma, n.k. hata hiyo 3g ni tabu! Nakumbuka wkt serikali ina invest kwenye mkonga wa taifa walisisitiza kuwa wakikamilisha Internet itakuwa cheap na very fast lkn mwisho wa siku hali ndio hii...