Air Tanzania: Ndege iliyonunuliwa imeharibika, mainjinia zaidi ya 50 waneshindwa kutengeneza

Status
Not open for further replies.
Kama ni mpya inatakiwa iwe chini ya uangalizi Wa muuzaji kwa muda Wa mwaka mmoja + vinginevyo wakaibadilishe.
Tuambiwe ukweli kama tumeliwa
 
Mbona Yule bosi wa ATCL alisema juzi, wameground ndege moja ina matatizo ya kiufundi, watatumia ndege moja na watajitahidi wasiathiri safari zao, sioni cha ajabu hapo...
Aaaah ok kumbe ni mbovu!!, Vip warantee imeisha maana imenunuliwa juzi tu,
 
Napendekeza hao mainjinia walioshindwa kuirejesha kwenye hali yake ya kawaida wahakikiwe vyeti vyao wanaweza kuwa wanamfekia mkuu.
 
Mainjinia 50? Isije ikawa wale vijana wetu pale NIT wanafanya practical nyie mnadhani imewashinda.
Waniite nikaitie spana za ukweli kama haijaruka leo kwenda Chato.
Hata hivyo bombardier tumeshamaliza kuzijadili leo tupo kwa Mkurugenzi wetu rafiki wa Seth
maeng 50 wa ndege si kila nchi imeshatoa hapo ahaaaa kweli pangaboy ni kama ukimwi vile
 
IMG_20170611_121335.JPG
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom