Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

Watu wanatumia Skanka siku hizi, wanakula hadi biskuti zake acha kabisaa 😂
 
Mkuu...
Fafanua kidogo ni Aina ipo ya Bangi unayo isemea Kwa maana
Bangi zipo Kwa Aina mbalimbali kama zilivyo mboga za majani , kila moja kwa ladha yake mnafu hauna ladha ya mchicha kila moja huwa na upekee wake,
Na Kwa upande wa uangalizi katika kilimo Cha Bangi ,sio kweli Kuwa Bangi inayovyutwa Tz yote hujiotea tu misituni
Nyingine hupandwa kabisa katika mashamba makubwa tu, ila sehemu kubwa ya mashamba hayo huwa misituni na sababu ya kulimia huko misituni , nikujuficha na kujilinda na mkono wa sheria kwani kujihusisha na kilimo Cha Bangi ni kosa ndani ya Tz,
Na pia mashamba hayo ya misituni yana uangalizi na ulinzi wa kutosha pia,
Kinachofanya Bangi ilimwe misituni ni kukwepa sheria
 
Tunavutaje makapi wakati kitu fress tunachuma na kuvundika chooni
 
Wewe bwege, waambie Wamarekani wanavuta tumbaku tu wala siyo bangi. Achana na sisi tuna kula kitu original toka msituni.

Bangi gani unawekee mbolea, dawa za kuua wadudu halafu mbegu yenyewe imetoka kwenye pakiti.

Mtu unavuta bangi halafu unabaki na akili ya kawaida bado hiyo unaiita Bangi? Acheni dharau kwa Bob Marley na Peter Tosh.

Futa uzi huu
 
Navuta picha ya mwandishi anafanana na rip shalo milionea mwenyezi wa s.a.w amrehemu
 
Huwaa unazivuta mbegu unazozikuta kwenye maua ?
 
Ohhh sasa nimekupata Unamaanisha Sinsemilla?
But Sinsemilla sio aina Ya mmea ni Jinsi ya kuhudumia Mmea wa Marijuana au Bangi ili uproduce high Psychoactive Cannabiod kwa kutoruhusu Mbegu...
Ndo ulikuwa unazungumzia hiyo kitu???
Umegonga ndipo,

Bangi inayoota bila kuihudumia huko maporini ndio hio utaikuta ina seeds kibao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…